Hapa ni naona Mungu hahusiki kabisa
Tatizo tunatumia mwili zaidi!
Kwa ni Heaven umeshaachana naye????......
Subiri umri ufiki mkuu, utaoa tu, hi kitu inaitwa ndoa is unkwepable, kuna hali fulani ya upweke ikikushika mkuu utanyoosha mokono mwenyewe na kwenda hata kwa Heaven on earth na uka propose!
Sasa nifanyeje mkuu?
hakuna jambo linaloshindikana kwa yule muumba mbingu na ardhi mweleze bila kuchoka hitaji lako na iko siku atakupa kile ukitakacho.
Dah!
Hii ngumu sana kumesa
Nilijaribu lakini nilishindwa
Nyakati hizo nilipokuwa kwenye mahusiano mwanamke huyo alikuwa pasua kichwa[ CC Tina cute]
Nilijitahidi sana kujaribu kumshauri lakini haikuwezekana
Nikajaribu kum-cheat ili nijaribu kupunguza maumivu lakini nilishindwa
Niliachana nae
Nikaamua kukaa peke yangu tu
Lakini kila siku naona kama nahitajika kuoa
Lakini tatizo ni huyo wa kuoa
Kazi ipo!
Eiyer imebidi nitoke wodini nilipolazwa baada ya wewe kuniita.
Hata hivyo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaweza kuandika sana...
Inauma kydanganywa and inauma zaidi kudanganya...from experience.
I reached a point in life nikaona what the heck why playin
Kwahiyo Mungu ndio anajua walipo?