Tutaonana tena 5/5/2026

Ninae mkuu,hivi sikuzote ulijua natombwer na maandishi mkuu!? Sidhani kama upo serious
Nadhani wewe ndio haupo serious kwakuwa kama ungetaka kukaa kimya kweli ungekaa tu kuliko kuja kutulilia hapa tukubembeleze ubaki.
 
Bila kunitumia namba Yako pm huu uzi ufutwe
 
Roho inaniuma Mimi domo zege, natamani kukwambia nakupendaga sana To yeye ila ndio ivo Tena kama samaki majini mdomo umejaa maji.🙄
 
Kwann Sasa unakuja kunisema kwa watu?? 😀 🤣
Yupo humu,tumekosana hata hivyo... nampenda naye anapenda mwingine....mie siyo jogoo kuanza kumfukuzia🤣🤣🤣....hivyo mapenzi si sababu cute
 
Sisi WAVAA kobazi tumeambiwa "WALA msiseme kuwa jambo fulani nitalifanya kesho au siku inayofuata tutaonana" bali tangulizeni kusema Mungu akipenda ......
 
Tuyeye leo naomba nilie plz nina mpango
na wewe tena wa mahtuti ya moyo, huruma yako plz umenistukiza sana roho yangu dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…