Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,033
Kwenye kaya/familia ya Mzee Mwita kuna watoto 2 wenye umri chini ya miaka 5, wa4 wenye zaidi ya miaka 5, mjamzito mmoja na mke mmoja. Kaya ya mzee Mwita ina vyandarua viwili vilivyotiwa dawa. Usiku wa kuamkia jana waliotumia chandarua ni mjazito na mtoto mmoja chini ya miaka 5.
1.Taja idadi ya watu katika kaya hii.
2. Ni wanafamilia wangapi hawakutumia chandarua usiku wa kuamkia jana?
1.Taja idadi ya watu katika kaya hii.
2. Ni wanafamilia wangapi hawakutumia chandarua usiku wa kuamkia jana?