Mwizi na Kibaka hatari "lukuba"

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,869
3,492
Alitamba miaka ya 2006 mpaka 2012 wilaya ya ilemela jijini mwanza. Nimeona nilete hiki kisa baada ya trend ya yule kibaka aliyeuawa jijini Arusha.

Kilichofanya huyu jamaa akumbukwe mpaka Leo ni kufanya matukio hatari ya wizi akitumia Kwa pamoja ujuzi wa kimwili na kiroho.

Matukio ya hatari aliyofanya ni

1. Kuiba mabanda yenye kuku Kwa familia 15 Kwa usiku mmoja akiwa peke yake.

2. Kuwaingilia kimwili wanawake wakiwa wamelala huku akiwaamsha waume zao watazame bila reaction mpaka anamaliza.

3. "Kunya" kwenye vyakula vilivyobakizwa
Usiku ( hii ilikua inatokea Kwa Kila familia iliyobakiza chakula).

4. Kuiba mifugo yote kwao ( kuku, mbuzi, ng'ombe) aliifanya Kwa usiku mmoja akiwa peke yake.

5. Kuvuna mazao yote kwenye mashamba ya watu

6. Kupotea akikamatwa.

7. Kuwaingilia kimwili walimu wa kike shuleni

Matukio ni mengi ila nimeandika machache kutokana na muda

Mwisho alichomwa moto ingawa ilichukua muda mrefu Kwa yeye kufariki mpaka pale wenye ujuzi walipoichomoa hirizi kutoka kwenye mwili wake.
 
Hiyo ni Uongo. Huyu Lukuba Si alikuwa mpiga debe. Nyakato mecco.

Mabanda 15 ya kuku unayapata mtaa gani Mwanza?.
Mara nyingi habari kama hii kadiri inavyosimuliwa ndivyo inavyozidi kuongezewa chumvi na pilipili.

Mpaka ije kumfikia ''mlaji'' wa eg 10,000 kwenye mlolongo wa kusimuliwa basi inakuwa imegeuka na kuwa habari nyingine kabisa.

Kwa mfano watu watakaoisoma hapa mara ya kwanza wakienda kusimulia wataongeza ya kwao eg alikuwa na mkia kama mbuzi.
 
Hiyo ni Uongo. Huyu Lukuba Si alikuwa mpiga debe. Nyakato mecco.

Mabanda 15 ya kuku unayapata mtaa gani Mwanza?.
Ungeuliza kwanza kabla hujaatack

Simfahamu huyo lukuba wa mecco namfahamu lukuba niliyemuandikia kisa.
 
Alitamba miaka ya 2006 mpaka 2012 wilaya ya ilemela jijini mwanza. Nimeona nilete hiki kisa baada ya trend ya yule kibaka aliyeuawa jijini Arusha...
Alikuwa mjinga, mshamba na mpuuzi. Kunya kwenye chakula ni kipimo tosha cha ujinga na ushamba aliokuwa nao. lakini sawa si alikuwa Msukuma?
 
Back
Top Bottom