Tutanue ubongo hapa

Tutanue ubongo hapa

Watoto chini ya miaka mitano= 2,
Watoto zaidi ya miaka mitano=4,
Mjamzito yupo kwenye idadi ya watoto 4,
Mke =1,
Mzee mwita
Jumla familia inawatu 8,
Waliotumia chandarua Ni mjamzito na Mtoto mmoja, na mzee Mwita na mke wake na Mtoto mwingine wa chini ya miaka 5 walilala pamoja,
Kwa hiyo ambao hawakutumia chandarua Ni watatu
hapo mkuu
 
Kwenye watoto wanne ambao umri Ni zaidi ya miaka 5 na huyo mama mjamzito yupo hapo maana huyo binti japo mjamzito kwa wazazi bado Ni Mtoto wao tu, Mtoto kwa wazazi hakui
angesema mtoto mmoja mjamzito kama ni beki tatu je ahahaa au mke wa pili?
 
angesema mtoto mmoja mjamzito kama ni beki tatu je ahahaa au mke wa pili?

Huyo Ni mwanae Mwita ila anaujauzito swala la utoto kwa mzee Mwita liko pale pale, labda nikuulize ulipozaa au utakapozaa Baba na mama yako ndiyo mwisho wakukuita kuwa Ni Mtoto wao?
 
Back
Top Bottom