Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,036
umiza akili mkuu..majibu yako ni muhimu kwa manufaa yetu sote. this is really puzzling!Muulize Mzee Mwita![]()
Muulize Mzee Mwita![]()
hahahaa anatimiza maneno ya mukulu wa magogoni!!!Mzee Mwita yeye yuko busy kufyatua tu hata majina ya wanawe wakati mwingine huyasahau.
🙂🙂🙂
mkuu unataka kuleta habari za kufind x kwa kuizungushia duara pale ilipoandikwa..?..lolKwa nini Mzee mwita asije tu kutupa ukweli? Yeye ndiye anajua familia yake, anajua idadi ya chandarua alizonazo, na wangapi hawatumii chandarua..!! Mzee mwita mbona unatufanyia hivi?
Kawaongelea kipengere Bwatoto 4 wenye zaidi ya 5yrs hujawaongelea
huwezi kupatia jibu B kama A umechemka. review swali vizuri tena.Kawaongelea kipengere B
mambo ya n(A)+n(B)+n(AnB)naona mambo ya set hapa inahusika tunachora vipi kusove hii hesabu mkuu?
Watoto chini ya miaka mitano= 2,Kwenye kaya/familia ya Mzee Mwita kuna watoto 2 wenye umri chini ya miaka 5, wa4 wenye zaidi ya miaka 5, mjamzito mmoja na mke mmoja. Kaya ya mzee Mwita ina vyandarua viwili vilivyotiwa dawa. Usiku wa kuamkia jana waliotumia chandarua ni mjazito na mtoto mmoja chini ya miaka 5.
1.Taja idadi ya watu katika kaya hii.
2. Ni wanafamilia wangapi hawakutumia chandarua usiku wa kuamkia jana?
ngoja nijaribuKwenye kaya/familia ya Mzee Mwita kuna watoto 2 wenye umri chini ya miaka 5, wa4 wenye zaidi ya miaka 5, mjamzito mmoja na mke mmoja. Kaya ya mzee Mwita ina vyandarua viwili vilivyotiwa dawa. Usiku wa kuamkia jana waliotumia chandarua ni mjazito na mtoto mmoja chini ya miaka 5.
1.Taja idadi ya watu katika kaya hii.
2. Ni wanafamilia wangapi hawakutumia chandarua usiku wa kuamkia jana?
mtoto hajazaliwa anahesabiwa kweli? au kihesabu anahesabiwa?Watoto chini ya miaka mitano= 2,
Watoto zaidi ya miaka mitano=4,
Mjamzito yupo kwenye idadi ya watoto 4,
Mke =1,
Mzee mwita
Jumla familia inawatu 8,
Waliotumia chandarua Ni mjamzito na Mtoto mmoja, na mzee Mwita na mke wake na Mtoto mwingine walilala pamoja,
Kwa hiyo ambao hawakutumia chandarua Ni watatu
tupe vitu mkuuMambo ya set hayo..