Tutangaze mgogoro wa kisiasa na Edward Ngoyai Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutangaze mgogoro wa kisiasa na Edward Ngoyai Lowassa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Nov 14, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  WADAU NALETA HOJA YA KUOMBA TUTANGAZE MGOGOR WA KISIASA NA EDWARD NGOYAI LOWASSA (MB) NA MNEC WA CCM.
  HUYU NI MWANASIASA MWENYE NJOZI KUBWA YA KUWA RAISI WA JMT NA KUNA MADAI KUWA T.B JOSHUA WA NIGERIA AMESHAMTABITRIA HILO.

  KWANINI MGOGORO WA KISIASA

  1. KILA ANAPO PATA FURSA YA KUZUNGUMZA HUWA ANASEMA UKOSEFU WA AJIRA NI BOMU LINALOSUBIRI KILUPUKA NAOMBA ATUELEZE ALIVYOKUWA SERIKALINI ALIFANYA MKAKATI GANI KUKABALIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

  2. YEYE NI M/KITI KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE NA ULINZI, JE AMEFANIKISHAJE KUWATAFUTIA VIJANA AJIRA NDANI NA NJE KWA KUTUMIA NAFASI YAKE HIYO BUNGENI?AMEWASILISHA MKAKATI GANI KUTATUA TATIZO KAMA BADO HAJA FANIKISHA?

  3. KULE MONDULI AMBAKO YEYE NI MBUNGE AMEWAFANYIA NINI VIJANA KUKABILIANA NA AJIRA AU ANATUJAZA CHUKI?

  4. YEYE NI MNEC AMESHAURI NINI CHAMA CHAKE KINACHOUNDA SERIKALI NA KUTEKELEZA ILANI YAKE KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

  *****LOWASSA NI MOJA YA CHIMBUKO KUU LA MATATIZO TULIYONAYO HUMU NCHINI, KILA UMEME UKIKATIKA LAZIMA TUMLAANI?hajui bei za vyakula, usafiri na mahitaji mengine yakipanda kwa ughali wa uzalishaji unaosababishwa na umeme tunamlaani yeye?

  Kwanini anatumia advantage ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama silaha kubwa kila anapozungumza?hajui kuwa vijana tuna chuki nae kubwa kwa ushiriki wake wa kuajiri kwa kujuana na kupendeleana ambapo katika mfumo huu anamkono mkubwa?

  Kwanini anataka kutufanya vijana ni mtaji wake wa kisiasa?Mr White hair tumekushutukia na tunatangaza mgogoro wa kisiasa na wewe

  Lowassa ur disaster to us acha kutughilibu mzee wangu, au tuingie barabarani kutaka mchukuliwe hatu kwa kuwa serikali ya mshikaji wako inakulinda?

  Lowassa fuata ushauri wa Mzee Msekwa acha mbio za uraisi, acha kuvuruga utawala mbona ulipokuwepo hakuna jipya la maaana?
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  na ule mkakati wa kuwawekea sume akina mwakyembe na mwandosya anatuambiaje?
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Hii ndo Tanzania yetu. Eti kuna watu wanaamini bila wao hakuna Tanzania ndo maana unaona wanapigana kufa na kupona waje kutuongoza ili kutimiza ndoto zao.
   
 4. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angekuwa anasema kiongozi wa CDM wangesma anazungumza manao ya uchochezi
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  Na likinuka hapa tz ndani ya hizi siku mia alizopewa J.K mie naapa kudeal na J.K na E.L ..nitahakikisha nawatia vijiti m.....ni
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Mh! Kaazi kwelikweli...
   
 7. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Huyu EL asifanye watu hatuna akili yeye ndio chanzo umasikini tulio nao, katukwamisha na umeme wa RICHIMOND hadi sasa serikali ya mshikaji wake inataka kulipa malipo ya kifisadi!!!!!!!!!Asidhani watu ni wajinga hatujui ufisadi wake, mtoto wake alikamatwa London na mahela kibao akinunua mahotel tena si moja kibao tuu Leicester, Trafagar square , kama si wizi anatueleza nini huyu????????Fedha za kulipa RICHIMOND Million 152 kila siku kwa muda wa miezi sita ziliingizwa mfuko gani????????? Nasikia ana Acct huko Uswizi zaidi ya USD$ 300 million amaezipata wapi?????????? Kuna wezi wanataka kuhalalisha wizi wao ktk uongozi wa CCM, mfukuzeni EL CCM kama kweli mnajivua maghamba, tena apelekwe magereza akajibu mashitaka ya wizi kwa fedha za umma na kufilisi nchi ya Tanzania PERIOD!!!!!!!!!!!
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  duuuuuuuuuuu!
   
 9. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hapo pekundu ndio penyewe, maana anatakiwa ajue ukosefu wa umeme kwa ajili ya maujanja yake ya rich mond ndio ulisababisha ukosefu mkubwa wa ajira hasa kwa vijana, labda aseme alisababisha makusudi ili aje atumie kama agenda ya kampeni. Kama ambavyo chama chake kimetengeneza ukata ili kiutumie kwenye kampeni.

  Free ushauri: Na yeye aachane na hizo mbio za magogoni tu, amechafuka beyond repair, maana atakuja kuwa embarassed apate stroke bureeee! Sina bifu naye maana sina mpango wa kugombea hata uenyekiti wa kamati ya harusi ya yeyote.
   
 10. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  LAzima umetumwa, huo mgogoro tangaza mwenyewe, unataka nani akusaidie, Muite mzee 6 akupige tafu kama hakukutuma yeye
   
 11. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Nyie ndio wapambe wa EL kujaribu kuzima mada hapa JF, pole sana tumeshamsitukia huyo fisadi wako, akulipe usepe!!!!!!!!
   
 12. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Anatambaga kuwa yeye ndio Presida ... kudadadeki.
   
 13. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwe makini hawa mafisadi wanaonekana kujipanga.
   
 14. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  kama ni ajila angaanza kuwapa kwanza maasai kwani ni vurugu tupu pale sinza madukani, akiwa yeye kama mbunge ndugu zake wa kimasai amewasaidiaje kutokomeza umaskini? au umasikini wa kulala nje na kuchunga ng'ombe ndio ajira zenyewe au anaeendeleza kauli za ukale za kutunza mila, kama ni kutunza mila mila zinatunzwa mjini, yaani mila azitabiliki leo maasai kesho mtu kaupara. kama ni kuanza aanze na nduguze kuwapa mitaji sio maela yote anaelekeza kwenye makanisa huku kwao watu hawana visima alafu wanamuita chifu wao, inauma sana kuona bado wanaitwa walizi huku wasiaminiwe na mtu yeyete kwa kuwa sio waaminifu tena.
   
 15. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi bado kuna watu wana uhakika rais ajaye atatoka ccm??! Kwa nini msiwaache waendelee kutoana kamasi kwenye chama lao?!
  Mimi binafsi kila umeme unapokatika ninawalaani waliotuingiza kwenye mkataba wa IPTL. Huyu ndo mama wa ufisadi mkubwa wote kwenye sekta ya umeme, tunajua tunailipa iptl sh ngapi kwa siku. Kilichompa lowasa na aliyekuwa nyuma yake fursa ya kufisadi nchi kupitia richmond ni yule aliyeiingiza Tanesco ktk nira ya kukamuliwa na iptl kwa zaidi ya miaka 15 sasa. Ndiyo maana hata baada ya fisadi lowasa kudondoka yule kibaka mwingine hakuwa na udhubutu wa kuikomesha richmond/dowans kwa sababu ni yake.
   
 16. Kakati

  Kakati Senior Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani tuachane na Lowasa tujadili mambo mengine ya msingi. Alipatikana na ufisadi, akajiuzuru, basi. tuendelee na mambo mengine. Katuloga?
   
 17. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,841
  Likes Received: 2,772
  Trophy Points: 280
  Wakuu tutapiga sana hizi kelele lakini jamaa lazima aukwae u-presider ije mvua lije jua. Kwani sisi wadanganyika tuna akili?
   
 18. K

  Kiguu na njia Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bruker acha mbofumbofu zako!! Lowassa alikuwa ni PM mwenye uwezo mkubwa wa kuendesha shughui za serikali. alikuwa jasiri na a mwenye uwezo wa kufikia malengo ya kazi alizojiwekea. Unataka kumlinganisha na huyu Pinda??? Tanzania inahitaji kasi ktk maendeleo na inamuhitaji sana kiongozi aina ya Lowassa. Lowassa alijenga shule za kata kwa kasi ya ajabu ndani ya kipindi cha miezi 15. alilenga kufika mbali na wakati wote aliamini penye pana njia!! Tazama mipango yake mizuri ya maendeleo imeachwa na hawa viongozi wachovu wakiongozwa na Pinda. Mhe. Lowassa alijali sana wananchi wakati wa u-PM wake, alijali haki za viongozi wa upinzani na wakati ilipobidi aliwashauri CCM wenzake kukubali matokeo kama alivyotatua mgogoro wa Umeya Kigoma ujiji kati ya Chadema na CCM kwa kumwagiza Pinda wakati akiwa Tamisemi kwenda kutekeleza kile aichoamua. Akiwa MNEC wa CCM alishauri CCM ising'ang'anie maslahi ya chama badala ya maslahi ya Amani na wana Arusha lakini kina Pinda na makamba wake wakampuuza!! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!!! lowassa ndiye miongoni mwa waziri wakuu waliofanikiwa TZ baada ya Hayati Mwl. Nyerere na na Hayati Soko4. Ukichukizwa sana rusha jiwe. habari ndo hiyo!!!!!!
   
 19. K

  Kiguu na njia Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu achana naye huyo!!! mtumia masaburi!!
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu huyu njemba nenda kanywe nae chai tu sisi tulio wengi hatumtaki aisee,kweli ana mazuri lakini mabaya yake yamezidi halafu tujaribu kutafakari kidogo nguvu yote hii ya kwenda Ikulu 'anaenda kufanya nini' ?
   
Loading...