Hahahaaaaaa lol hope nimekusoma meeensi unajua kazi ya Messi na Cristiano ni kuscore magoli....basi huko kwa jirani ndivyo ilivyokua, bwana sensa alikua anascore magoli tu...if u know what i mean!
babaangu ni polisi...huwa namuibiaga afu hata kumbe hamjuani....mwenyewe askari mkongwe...sivaagi tu vyeo vyake mtanishtukia.
alafuuuu...si nackia wanasema askari wote ni poli-ccm??? vp ww staili ya gwanda?
ngoja nkamuulize na baba...
atoke wapi na wewe mwenyewe umeingilia kazi ya ukaguzi.
..aisee bado ..nafanya upembuzi yakinifu..
Jamani Madame B kama dada wa hiyari ameshajitolea kunipeleka kwenye upekuzi kwa mtu makini baada ya kukosa imani kwa Erickb52 na Asprin au ww ndo umekuwa recommended na dada wa hiari?
jg upo baba?? hajambo shosti wangu beibe nasty??? haya nijuze maana nilikwenda mtoni kuchota maji, kurudi ndio nasikia habari hizi za kusadikika, yalianza lini mambo haya??
Siipendi, siipendi, siipendi Nyi Nyi M. Asikudanganye mtu, CDM imepata waunga mkono wengi mno hasa polisi na wanajeshi. Mabomu tunayalipua tu kwa sababu tupo kazini. Sisi hatupayuki, tutasema kwenye sanduku na infact 2010 tulisema. Fuatilia matokeo kwenye kambi za jeshi na polisi utaniambia. Mkuu Mentor, unadhani watu wanaporusha mabomu ndo kwamba ni watiifu kwa Nyi Nyi M? Thubutu!
Kwa sasa jeshini kuna wasomi wengi tu especially katika nafasi za juu. Tatizo la failures kukimbilia polisi lipo kama ambavyo lipo katika fani ya ualimu hata katika uuguzi. Vijana wengi wanajiendeleza na wengine wakishapata degree huamua kuacha kaziHivoeee..sisi tulihama kambini zamaniiiii tupo uraiani! i really hope unalosema ni kweli...baadhi ya mambo myafanyayo huwa yananiboa lakini ndo ivo vitu vingine ukiwa kwa nje huezi elewa ni kwa nn vinafanyika!
Eti Polisi, ni kweli nyie wote ni form four failures? maana nakumbuka mimi baba yangu alimaliza form six (sikumbuki alipata grade gan) akaendaga JKT Makutopora enzi zile za lazima then sijui ikawaje (hiyo hadithi imenitoka kidogo) walipotoka vita vya idd amin akaingia polisi...sa na yeye alifeligi nn??! lakini aliendaga kusoma BSc. Civil Engineering UDSM...si waliofeli hawaruhusiwi kuendelea na chuo, eti afande!???
Bishanga mwanaume kamili alalamiki hadharani anaugulia tu maumivu we vipi wewe? mbona unawaaibisha nshomile wenzako?
Mkereketwa,una akili sana wewe,kula five :shetani:Bishanga, ulikuta shuka kitandani zimeloa na mamaa hayupo nini? Basi usiende mbali, we chungulia uvunguni mwa kitanda huenda wamejificha humo baada ya kusikia unafungua mlango. Achana na uji, wamwagie tindi kali na roho yako itapona, Amen!
Hizi sio tuhuma bali ni kweli nimemchukua The secretary sasa nimekosea wapi ruttashobolwa ??