Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

Kuna Mbunge wa Tabaora vijijini anaishi Sinza.Aisee anaharibu vijana hapa mjini.Anawachukua anakupa milion5 umfukue mtaro then ukimaliza anatoa bastola na yeye anakufukua.Wasanii na Wacheza mpira ndo wahanga.Mfano Kuna mchezaji mmoja wa Yanga kinara huyo nishamuona kabisa na watu hawamdhanii.
Duuuh aiseee anaitwa nani huyo Mbunge
 
Itungwe sheria kama ile ya mahudhurio bungeni kwamba mbunge asipohudhuria vikao 3 bila taarifa basi asimamishwe bungeni na pia bila posho vivo hivyo asipoongea bungeni wala kuandika kero za wananchi kwa spika vikao 3 basi itoke Alert ⚠ Maalum kwenda kwa wananchi wa Jimbo lake itayotoa go ahead kwa wananchi kupiga kura ya kubatilisha maamuzi yao ya kumchagua
 
Kuna Mbunge wa Tabaora vijijini anaishi Sinza.Aisee anaharibu vijana hapa mjini.Anawachukua anakupa milion5 umfukue mtaro then ukimaliza anatoa bastola na yeye anakufukua.Wasanii na Wacheza mpira ndo wahanga.Mfano Kuna mchezaji mmoja wa Yanga kinara huyo nishamuona kabisa na watu hawamdhanii.
unatoa siri za kambi, mbna hata yule mgeni mwenyeji wa Tabora, kazi yake kufata vitoto vya shule hasa wa kiume, na anapenda kwenda kutafuta shule za special school.
 
Daaa ASILIMIA KUBWA ya wabunge wa mkoani kwangu hapa morogoro hamna kitu wanafanya Yani vikao vinaanza mpaka vinaisha hakuna kitu wanachangia Sasa kwao sijui ubunge ni posho na kulipwa vizuri kutembelea magar mazuri au ni vipi wakati wananchi tuna kero kibao tu inauma sana alafu inafika wakati wa uchaguzi Kuna wamama wapuuzi Bado wanamchukulia fomu huyo MBUNGE
 
Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.

Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza wanatumia mbinu gani kuwasiliana na waliowatuma?

Nichukue fursa hii kuomba tuwafahamu wale ambao sauti zao kuzisikia ni nadra tuweze kuwakumbusha umuhimu wa kuongea na kutusemea kunako Bunge.
Dr Babu tale
 
Back
Top Bottom