G
guest-1788672427
Guest
- Thread starter
- #21
Nilijua tu lazima uje useme chochote, kwahiyo mtu asiolewe ?Kwa wanawake ndoa ni biashara
Nilijua tu lazima uje useme chochote, kwahiyo mtu asiolewe ?Kwa wanawake ndoa ni biashara
gentleman,Ikitokea Bank ya Dunia ikasitisha kutoa misaada sijui mikopo nchini
Sisi tunaofanya kazi za miradi ya W/B tutaenda wapi ? nahis kuchanganyikiwa
Bora nitafute mume niolewe

Tambua kuolewa kwa Mwanamke ni Ajira tena rasmi kabisa na ya Asili pia na wanalitambua hilo vizuri mno.Kwa hiyo kwako mume ndio mbadala wa kazi?
Mtakuja tushirikiane kufanya kazi kama punda ili kuinua uchumi wetu..Pale unapohisi unamkomoa mwenzako kumbe unajikomoa wewe, huyo mwenzio na wengine...CCM na CHADEMA ndiko wanakotupeleka...CCM kichwa ngumu, CHADEMA nao viburi...Ngoja tuone.Ikitokea Bank ya Dunia ikasitisha kutoa misaada sijui mikopo nchini
Sisi tunaofanya kazi za miradi ya W/B tutaenda wapi ? nahis kuchanganyikiwa
Bora nitafute mume niolewe
Usimuulize mtarajiwa wangu maswali magumu.Ndoa Kumbe ni ajira? 😹
Sasa huyo atakayekuoa yeye ndio atakulipa?
Sijui itakuajeMtakuja tushirikiane kufanya kazi kama punda ili kuinua uchumi wetu..Pale unapohisi unamkomoa mwenzako kumbe unajikomoa wewe, huyo mwenzio na wengine...CCM na CHADEMA ndiko wanakotupeleka...CCM kichwa ngumu, CHADEMA nao viburi...Ngoja tuone.
Lazima anilipe mshahahara aiseeNdoa Kumbe ni ajira? 😹
Sasa huyo atakayekuoa yeye ndio atakulipa?
Matarajio yakienda kinyume usumbufu unaanzaKujikwamua kimaisha
hususani single motherKwa wanawake ndoa ni biashara
Wewe pumbavu tambua kuwa World Bank au Benki ya Dunia haitoi misaada bali ni taasisi ya biashara kama ilivyo Stanfard Chatered au CRDB tu. Chukua pesa lipa mkopo na riba.Ikitokea Bank ya Dunia ikasitisha kutoa misaada sijui mikopo nchini
Sisi tunaofanya kazi za miradi ya W/B tutaenda wapi ? nahis kuchanganyikiwa
Bora nitafute mume niolewe
TAusi bonge na athumani kimbaumbau wakiwa bize na maisha yao
THat means mke akiwa anakipato kuzidi mwanaume tayari dume yupo kwenye ajiraTambua kuolewa kwa Mwanamke ni Ajira tena rasmi kabisa na ya Asili pia na wanalitambua hilo vizuri mno.
La hasha Msingi wa Mwajiri ni Kumtawala Mwajiriwa haijalishi ana kipato kikubwa.THat means mke akiwa anakipato kuzidi mwanaume tayari dume yupo kwenye ajira
Swali la msingi kabisa.Kwa hiyo kwako mume ndio mbadala wa kazi?
usijali kwenye vikao vyenu mlishashauriana nyie ni "masupawumani" usijali "utapambanna"Ikitokea Bank ya Dunia ikasitisha kutoa misaada sijui mikopo nchini
Sisi tunaofanya kazi za miradi ya W/B tutaenda wapi ? nahis kuchanganyikiwa
Bora nitafute mume niolewe
Wapo waarabu,waajemi,wachina,warusi na Korea kaskazini watatupiga tafu tu.Those bloody beberuzz hawatuwezi.Kwanza,who are they?Ikitokea Bank ya Dunia ikasitisha kutoa misaada sijui mikopo nchini
Sisi tunaofanya kazi za miradi ya W/B tutaenda wapi ? nahis kuchanganyikiwa
Bora nitafute mume niolewe