Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,453
Kusubiri mpaka kuoana sio mbaya ni nzuri sana ila tu awe bado bikra tofauti na hapo we ni hela ndo inatumika alafu mzigo anawapa wapita njia naweza sema nna ushuhuda kuna mpenzi mmoja ingawa bado niko nae alinileteaga hizo swaga name nkajifanya kukubal kumbe alikuwa na mshkaji mwingne anapiga alivyokuja kwangu akadijai ana bikra hadi now huwa anasema nilimkuta na bkra namkubalia tu coz naujua ukweli wote wadada wa hivyo niwa hovyo sana anapigika tena vzr huko nje maana anajua hamtafka sehem yoyote ile we mpe tu hela huku unampanga mle tu alafu ukaushe sishauri vby ila hawa viumbe sio wa kuonea huruma muda mwingne