Utawaelewa tu usijali mkuu,they mean business!
JF wakati mwingine kunaboa kweli.Wageni wakileta thread zao za vyuo na mapenzi mnajifanya kuwaponda eti wapeleke sehemu hisika(FB) wakati wenyeji tu hawaweki thread zao sehemu husika.Sasa mambo ya project femu mara sijui taska yanahusiana vipi na jukwaa la MMU?!Kama unadhani kwingine haitachangiwa watumie watu link kwenye Pm.
Tusubirie mwakani TPF na BSS Amplified.Copy and Paste...ya BBA All Starzs...Pia Bongo star search watafanya All Stars... AKILI MUKICHWA...
na wewe ungepeleka malalamiko yako jukwaa la complain sio hapa...
Mpenzi wangu mgonjwa jamani
da! umekomalia hii ishu kweli umeamua na inaoneka una wito kinoma.JF wakati mwingine kunaboa kweli.Wageni wakileta thread zao za vyuo na mapenzi mnajifanya kuwaponda eti wapeleke sehemu hisika(FB) wakati wenyeji tu hawaweki thread zao sehemu husika.Sasa mambo ya project femu mara sijui taska yanahusiana vipi na jukwaa la MMU?!Kama unadhani kwingine haitachangiwa watumie watu link kwenye Pm.
Kunywa Tusker kisha chini ya kizibo kuna Nambari zilizojificha tuma kwenye number iliyo kwenye Mabandiko...duhhhh msaada wangu hapa ni buremaana hata sijuo hiyo Tusker Project Fame ni ni...Elimu kidogo The Boss.. sante..