Tusiwaudhi Watoto!

Tusiwaudhi Watoto!

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,929
Reaction score
46,276
Watoto wanasikitisha sana wakilia. Tusiwe tunawaudhi.

IMG_20190325_214944.jpg
IMG_20190325_215050.jpg
IMG_20190325_213332.jpg
IMG_20190325_213157.jpg
IMG_20190325_213215.jpg
IMG_20190325_213316.jpg
IMG_20190325_214648.jpg
IMG_20190325_214704.jpg
IMG_20190325_214804.jpg
IMG_20190325_214857.jpg
IMG_20190325_213258.jpg
IMG_20190325_213231.jpg
IMG_20190325_213037.jpg
IMG_20190325_213107.jpg
IMG_20190325_213134.jpg
IMG_20190325_214914.jpg
IMG_20190325_214745.jpg
IMG_20190325_215010.jpg
IMG_20190325_215116.jpg
IMG_20190325_214957.jpg
 
Hahhaa mkuu unataka kujua chanzo. We acha kuwapiga watoto tusije tukampiga picha akiwa analia tuibandike hapa.

Halafu hizi picha sio za camera, hizi ni picha za kuchora, kuna mwamba mmoja Nigeria ndo mambo yake.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kulia kwa Mtoto ni Moja ya Majukumu yake, ikiwa ni Pamoja na Kulala, Kula na Kucheza! Asipotimiza Mojawapo ya hayo bado haiko sawa.
Hahhaa we jamaa ni noma. Watoto raha wawe wanacheka tu. Au tuweke na watoto wakicheka uone wanavyopendeza😀😀
 
Back
Top Bottom