Tusiwaudhi Watoto!

Tusiwaudhi Watoto!

Mwombe sana Mungu akuepushe na mawazo ya hivyo mkuu. Ukiwa unawaza maovu kama hayo ubongo unasinyaa
Ninyi wa Kisasa ndiyo Unasinyaa, Sisi Wazee tumewazaa na Kuwalea Kwenye Maadili yaliyo mema ndiyo maana mnajielewa! Sasa Ogopa ninyi kutotimiza wajibu wenu, mtaharibu mema tuliyowaachia ninyi wasifaidike wengine!
 
Sawa babu
 
Acha zako wewe. Sasa kama ni mavichwa boga tufanyeje?
6462931_5007647fbimg1489612890763jpegb9839539b0b39d02bdecd493be3a0819_jpeg8252f87c052b1fe9aee766fd50943d47
Mkuu kichwa boga huundwa na mzazi hata ukimdunda kichwa chake hakitabadilika na kuwa keki!
 
Fimbo Ni muhimu sana katika malezi...

Usipomnyoosha akiwa mdogo, bas subiri ajekukunyoosha akiwa mkubwa...
 
Back
Top Bottom