jumasanga380
Member
- Feb 5, 2020
- 22
- 35
Mtu akifa ndio mwisho wake mambo yakusema unakufa alafu unakua na maisha tena sasa kwanini tufe
mkuu andaa hilo somo au mimi niandae?Ha ha! Ahsante mkuu kwa kunielewa.
Kufikiri nimekuachia wewe mwenye ubongo mpana.Huu ni mtazamo wangu na ndio maana hakuna reference toka kwenye kitabu chochote!.
Kama unafikiri swala la kufikiri uliwaachia waliopita tu na wewe hufai kufikiri kuhusu hayo basi jua wewe ni Kama bendera fuata upepo!. Kama unutafuta ukweli juu ya maisha yako usifikiri ukweli huo upo mbali! Maana hata wewe ni sehemu ya uhai ambao ni maisha!.
Kauli tamu na fikirishi ni it's your choice!..
Mwenyewe yuko wapi sasa mbona katuachia sisi?Hii dunia muachie mwenyewe we hujui kitu
Eti kakuachia... wee ndo utaiachaMwenyewe yuko wapi sasa mbona katuachia sisi?
Kitendo cha mimba kuingia tumboni ushaingia dunian anataka kujua kabla ya mimba kutungwa kwenye alikuwa ndiko kwenye ataendaMkuu unajifunga sana kwa kutumia akili tu umesema kufa ni kama vile bado hujazaliwa yaani hujui chochote dunia lakini uko tumboni kwa nchi za wenzetu wanakuwa wshatambua kuwa ni mtoto wa kike au kiume then ukazaliwa ukaishi ndo uhai sasa ukafa tena duniani kwa nn usiwe tena mzima na kuishi maisha mengine kama continuation of trend
Yaani tulianza kuwa wafu tukiwa tumboni tukaishi tukafa duniani kwa hyo tunaweza kuwa hai katika maisha mengine full stop epuka kula viporo asubuhi unaleta mawazo mgando hapo nimekujibu kwa fikra kama wewe sio vitabu
Mtu anasehemu tatu yaani mwili, roho na nafsi. Lazima ujue mtu akifa kila sehemu itaenda wapiMkuu vitu vingi kwenye hizo nukuu zako ni mifano tu
Biblia inasema wafu hawajui chochote, then wafu wawe wanaongea, nini maana ya kufa sasa.
Ikiwa wanaongea maana yake wote wapo hai
Kifo kinafananishwa na usingizi
nan ameuweka misingi hiyo?Chanzo changu kinategemea misingi halisi ya ulimwengu.
ukipita jangwani ukaona nyumba na imepandwa maua na bustani kwa utaritibu utasema hii nyumba imejenga yenyewe na bila mtu yeyote kubuni kutulia na kudesign sivyo?Msingi wenyewe.
SJibu fupi na rahisi ni kuwa huwezi kupata ushahidi wa kitu ambacho hakipo! Ukiona umepata ushahidi wa ambacho hakipo basi jua kipo otherwise wanaosema Kuna maisha baada ya kifo waje watupe ushahidi maana wao wanaamini yapo.
Sasa sijui hujaelewa wapi ? Nimekwambia hivi, tupe ushahidi wa kile unachodai, unaleta utoto kwamba kitu ambacho hakipo. Sasa tunakuuliza hivi umejuaje kama hakuna maisha baada ya kifo ? Swali ndilo hilo la wewe kutupa ushahidi juu ya kutokuwepo maisha baada ya kifo.Jibu fupi na rahisi ni kuwa huwezi kupata ushahidi wa kitu ambacho hakipo! Ukiona umepata ushahidi wa ambacho hakipo basi jua kipo otherwise wanaosema Kuna maisha baada ya kifo waje watupe ushahidi maana wao wanaamini yapo.
Ha ha! Naelewa dhana ya Uungu ila sijui ni Mungu yupi ndio kaumba ulimwengu! Kwa maana Miungu wanaotwajwa na walioandikwa kuwa wao ndio chanzo cha ulimwengu kwangu naona bado hawajajitosheleza! Au wanapewa sifa zilizozidi uhalisia.. so ili unielewe hapo usiweke Umungu bali Uungu!.. Uungu kinaweza kuwa chochote aidha ni nguvu yenye intelligence this is what i think! Ndio maana unaona jibu Kama tata.ukipita jangwani ukaona nyumba na imepandwa maua na bustani kwa utaritibu utasema hii nyumba imejenga yenyewe na bila mtu yeyote kubuni kutulia na kudesign sivyo?
Kwanza nyinyi mnaosema kuwa kunamaisha baada ya kifo hamjaleta ushahidi isipokuwa mnaamini tu kuwa kuna hilo Jambo!.. hakuna mfu yoyote alieweza kutoka ktk huo ufu na akaleta majibu ya uhakika juu ya maisha baada ya kifo!.. (na najua hilo haliwezekani maana kilichokufa ni kimekufa na hakuna kipya hapo!)S
Sasa sijui hujaelewa wapi ? Nimekwambia hivi, tupe ushahidi wa kile unachodai, unaleta utoto kwamba kitu ambacho hakipo. Sasa tunakuuliza hivi umejuaje kama hakuna maisha baada ya kifo ? Swali ndilo hilo la wewe kutupa ushahidi juu ya kutokuwepo maisha baada ya kifo.
Sasa usikimbie swali ambalo, wewe kwanza unatakiwa kutoa ushahidi kisha wanao sema kuna maisha baada ya kifo walete ushahidi. Kwahiyo tupe ushahidi usi ruke ruke kama bisi.8
Huko kunathibitisha vipi kuwa kunamaisha baada ya kifo..?Mkuu ni vizuri kabla hujaandika hii mada ungejiridhisha kwanza kwa kufanya utafiti juu ya Near Death Experiences watu waliokaribia kufa kabisa na madaktari wakathibitisha mtu huyu kafa lakini baada ya kupelekwa mochwari anazinduka. Huenda ukajifunza jambo,,,