Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Huenda aliyekata tamaa na maisha anafikiria kuna maisha baada ya kifo. Angalia watu wa ulimwengu wa tatu wanavyoamini maisha baada ya kifo. Ukimpiga kofi upande wa kushoto anakugeuzia na upande wa kulia akifikiria maisha ya mbinguni.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app