G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
Naona kama maandalizi ya kumuandaa ndo yameanzia hapo, kwa kukaribishwa chamani kama balozi ingawa umri unaweza ukawa kikwazo ambapo nahisi karata nyingine ya mpango wa Rais Magufuli atakuwa mama Mghwira, haitakuwa ajabu kwa hawa watu wawili kuwa wagombeaji.