Tusishangae Wilbrod Slaa kuwa mgombea Urais wa CCM baada ya Rais Magufuli

Ishasomwa hiyo hoja ndani ya bunge? Maana si unajua bunge iyo LIVE?
Mkuu inaonekana uko nyuma sana kwenye kufatilia habari hata humu jf, hiyo hoja jamaa aliitoa karibia mwezi umepita kuwa ataipeleka bungeni, hadi rais akaitolea majibu, na yalikuwa ni mapendekezo yake binafsi, sitaki niwe msemaji wake..
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom