Tusishangae Wilbrod Slaa kuwa mgombea Urais wa CCM baada ya Rais Magufuli

Naona kma maandalizi ya kumuandaa ndo yameanzia hapo, kwa kukaribishwa chamani kama balozi ingawa umri unaweza ukawa kikwazo ambapo nahisi karata nyingine ya mpango wa Magu atakuwa mama Mghwira, haitakuwa ajabu kwa hawa watu wawili kuwa wagombeaji...

Labda yule mama anaweza kufikiriwa lakini kasisi mwaasi hapana jamani.
 
Naona kma maandalizi ya kumuandaa ndo yameanzia hapo, kwa kukaribishwa chamani kama balozi ingawa umri unaweza ukawa kikwazo ambapo nahisi karata nyingine ya mpango wa Magu atakuwa mama Mghwira, haitakuwa ajabu kwa hawa watu wawili kuwa wagombeaji...

Wewe jamaa ndio hauzijui kabisa siasa za Tanzania. Hao wote wawili hawawezi kuwa.
1. Slaa umri umeenda sana. Fikiria 2025 yaani miaka 7 au 8 ijayo atakuwa kwenye 77. Alizaliwa tarehe 29.10.1948 kwa hiyo hataweza tena kusimama kuogombea.
2. Mama Mghwira mmhhhh. Nadhan sasa mkuu unaiona taasisi hii ni ya kupeana peana tu na wala sio nyeti. Watu wanaenda kukamilisha matajirio yao. Fulfillment of their ambitions.

Kilichopo sasa tambua kuwa tutarudi kwenye mfumo wa chama kimoja baada ya vyama pinzani kukosa watu makini na kufa kifo cha kawaida na ndio maana Magufuli anawakaribisha watu makini kama akina Slaa na Kitila ndani ya CCM.

Kuna kauli moja Magu alikuwa anapenda kuitamka wakati wa Kampeni. Ndio inayofanyiwa kazi sasa na inaleta mafanikio kuelekea kutimia. Kuna mzee Mangula hapo amekaa kimya, huyu ndiye anayeongoza show huku watu wakibaki kumshambulia Magufuli na Polepole. :D:D:D
 
Na mimi nimesema kwa Slaa umri unaweza kuwa kikwazo ndo maana nikamwingiza mama kwenye kinyang'anyiro, 2020 anaweza akawa humo ccm na kuanza harakati za kujijenga, na anaweza kupewa hata uwaziri, mi ntafufua huu uzi, hizo dalili zikianza mkuu...
 
Kuna kipengele pale kwenye fomu ya Urais ya CCM inauliza Je umewahi kuwa mwanachama wa Chama chochote mbali na ASP na TANU kama ndio ni chama gani na kwanini?
 
Naona kma maandalizi ya kumuandaa ndo yameanzia hapo, kwa kukaribishwa chamani kama balozi ingawa umri unaweza ukawa kikwazo ambapo nahisi karata nyingine ya mpango wa Magu atakuwa mama Mghwira, haitakuwa ajabu kwa hawa watu wawili kuwa wagombeaji...
Ukishakubali kutumika ni vigumu kuupata uongozi kama huo kwani msimamo ndiyo humwonyesha ni yupi kiongozi. Urais ni Tasia inayosimamiwa na watu wenye weledi bila kujionyesha machoni mwa watu
 
Kuna kipengele pale kwenye fomu ya Urais ya CCM inauliza Je umewahi kuwa mwanachama wa Chama chochote mbali na ASP na TANU kama ndio ni chama gani na kwanini?
Hahahahaaa, kwa hao wazee wa umri wake kuna mtu hajawahi kuwa kwenye hivyo vyama kweli?
 
Naona kma maandalizi ya kumuandaa ndo yameanzia hapo, kwa kukaribishwa chamani kama balozi ingawa umri unaweza ukawa kikwazo ambapo nahisi karata nyingine ya mpango wa Magu atakuwa mama Mghwira, haitakuwa ajabu kwa hawa watu wawili kuwa wagombeaji...
Mkuu Goforpolitics, kwanza naheshimu mawazo yako, ila ili mawazo hayo yawe na uzito, yanapaswa yaendane na sababu, reasons behind, na logic behind mawazo hayo.

Kwa vile umeishia kusema ni maandalizi, naomba kutofautiana na wewe, uteuzi wa Dr. Slaa kuwa balozi, sio maandalizi ya kumpokea JPM, bali uteuzi ule ni kutimizwa kwa ahadi ya shukrani kwa kazi nzuri Dr. Slaa aliyoifanya, na uteuzi huo hata mimi, niliupongeza hapa
Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa?

Kuhusu 2020, mawazo yangu ni huyu

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

P
 
Mkuu sipangani na wewe kwa huyu Makonda wetu na hilo wazo la uthubutu wake, make miaka minane ni mingi mno, na usishangae hata huyo mama baada ya uchaguzi ujao akawa kwenye cabinet na kuanza kujiuza ingawa kwa dr kma nilivyosema umri utakuwa kikwako, ila kwa mama pia ni mtu wa kuangalia sana ingawa wafia chama watamuona kma mtu wa kuja, na kma kinyanga'anyiro kitaenda head to head na huyo Makonda, utabiri kwa hapo utakuwa mgumu, make kuna ambao watamuona makonda pia kama project na mama kma mtu wa kuja, hiyo ngoma itakuwa nzito kwa watu kma akina Nape,Makamba, Mwigulu, tutegemee upinzani ndani kwa ndani mkubwa ambao utafanya wengine wahame mkuu Pascal
 
Kuna kipengele pale kwenye fomu ya Urais ya CCM inauliza Je umewahi kuwa mwanachama wa Chama chochote mbali na ASP na TANU kama ndio ni chama gani na kwanini?
Hiyo form siyo msahafu mkuu, ikibidi yaweza badilishwa kuendana na wakati. Mbona katiba ya CCM imebadilishwa na kuwataka wanachama wasimpinge raisi aliyemadarakani kabla ya kumaliza vipindi vyake viwili. Form na Katiba kipi kiko juu.... Nimetolea tu haya maoni kuhusu issue ya form, lakini siungani na mleta hoja.
 
Naona kma maandalizi ya kumuandaa ndo yameanzia hapo, kwa kukaribishwa chamani kama balozi ingawa umri unaweza ukawa kikwazo ambapo nahisi karata nyingine ya mpango wa Magu atakuwa mama Mghwira, haitakuwa ajabu kwa hawa watu wawili kuwa wagombeaji...
Hakuna lisilowezekana, ila pamoja na kwamba nilimpenda sana na roho yangu inamkubali sana, sitampa kura yangu kwa maana nitamchagua mgombea wa atakayesimamishwa na UKAWA-
 
Hata Lipumba au Zitto wakisimamishwa na Ukawa utawachagua kwa sbu ni ukawa?
 
Back
Top Bottom