Tusishangae Wilbrod Slaa kuwa mgombea Urais wa CCM baada ya Rais Magufuli

Swala la dr slaa si la kisiasa ni swala la kiimani...!! Hatakuja kupata amani mwoyoni mwake atulie...!! Niliposikia slaa yuko canada anafanya kazi supermarket ambayo ni kazi ya kudharaulika sana nilimuogopa Mungu...!!
Wengi wameacha siasa pia wamejitoa upinzani lakini bado maisha yao yanaendelea...!!

Hiv dr slaa wa sasa ni yule dr slaa katibu mkuu wa chadema au mbunge wa karatu..

Hata wanaccm wenyewe mnajua heshima mliokuwa mnampa kipindi kile pamoja na sasa kujiunga na nyie hampi heshima hiyo.. Mnamuona kama mtu anayetanga tanga...sasa kilichobaki na huruma kwake..!!
 
Hiv dr slaa wa sasa ni yule dr slaa katibu mkuu wa chadema au mbunge wa karatu..



Hapana mkuu, dr Slaa wa sasa ni balozi mtarajiwa hivyo siyo kuwa yuko kma ulivyotaja hpo ivyo yuko tofauti, ndo maana tunasema kuna maandalizi
 
Naona kma maandalizi ya kumuandaa ndo yameanzia hapo, kwa kukaribishwa chamani kama balozi ingawa umri unaweza ukawa kikwazo ambapo nahisi karata nyingine ya mpango wa Magu atakuwa mama Mghwira, haitakuwa ajabu kwa hawa watu wawili kuwa wagombeaji...
Wakati huo Slaa atakuwa Mzee anayesubiri kutangulia maana atakuwa anatumia ile miaka ya pension!
 
Back
Top Bottom