• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tusishangae Wilbrod Slaa kuwa mgombea Urais wa CCM baada ya Rais Magufuli

G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
3,621
Points
2,000
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
3,621 2,000
Naona kama maandalizi ya kumuandaa ndo yameanzia hapo, kwa kukaribishwa chamani kama balozi ingawa umri unaweza ukawa kikwazo ambapo nahisi karata nyingine ya mpango wa Rais Magufuli atakuwa mama Mghwira, haitakuwa ajabu kwa hawa watu wawili kuwa wagombeaji.
 
butron

butron

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
1,416
Points
2,000
butron

butron

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
1,416 2,000
Awamu ijayo ameandaliwa Majige Madirisha Matogoro.
 
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
3,621
Points
2,000
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
3,621 2,000
nyanimzungu,
Wewe miaka 10 iliyopita ulijua Magu angekuwa rais?
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,493
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,493 2,000
Mkamia Hoja ya 7 kwa 7 vipi?
 
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
3,621
Points
2,000
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
3,621 2,000
Dr slaa anaenda kuichafua chafua ccm


Swissme
Hilo halina ubishi, sipati picha akina Nape, Makamba , Mwigulu watahamia wapi mkuu make hatapakalika
 
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
3,621
Points
2,000
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
3,621 2,000
Ishasomwa hiyo hoja ndani ya bunge? Maana si unajua bunge iyo LIVE?
Mkuu inaonekana uko nyuma sana kwenye kufatilia habari hata humu jf, hiyo hoja jamaa aliitoa karibia mwezi umepita kuwa ataipeleka bungeni, hadi rais akaitolea majibu, na yalikuwa ni mapendekezo yake binafsi, sitaki niwe msemaji wake..
 

Forum statistics

Threads 1,403,663
Members 531,322
Posts 34,430,610
Top