Tusipozinduka, CCM tutaishiwa Pumzi mapema!

Kauli ya Mwenezi CCM Taifa, Comrade CPA Amos Makalla kwamba Chadema wanakusanya Pesa ili wanunue virusi vya Ebola na M-Pox kusambaza Tanzania na kuzuia Uchaguzi usifanyike, ni dhahiri Nafasi hiyo imeanza kumpwaya.

Na hii ni kufuatia Kampeni ya Chadema inayoendelea ya "No Reforms, No Election"

Kampeni ya Chadema inaonekana mwiba mkali sana kwasababu CCM kumekosekana viungo washambuliaji.

Kama ilivyo kwenye game ya Mpira kocha akiona Kuna mchezaji hamalizii mipira golini hulazimika kumtoa nje na kumwingiza mwingine kuziba gaps, ndivyo ilivyo hata kwenye Siasa. Natumaini Mwenyekiti wetu mama Samia atasuka upya kikosi.

Kuepuka aibu ya Chama Katika Karne hii ya leo, nashauri kauli ya Makalla ibaki kuwa ni kauli yake binafsi, na si kauli ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kwa Kizazi hiki (Elite Generation/Gen Z) huwezi kutumia Propaganda za miaka ya 1970's huko.

Nilishasema tangu mwanzo kuwa Tundu Lissu sio Freeman Mbowe.

Ogopa sana mtu anayeweza kukikosoa hata Chama Chake kinapokosea, hizo ni hulka na Kaliba za mtu kama hayati Magufuli, hakufumba macho kukemea maovu ya Chama hadharani.

Hawa watu wamejipanga Kwa hoja na sio Propaganda. Kwahiyo ccm pia tuwe tayari kwenda nao "Bampa 2 Bampa" "Hoja Kwa Hoja" "Mguu kwa Mguu". Tusiishiwe hoja!

𝐍𝐢𝐧𝐢 𝐊𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐞 𝐂𝐂𝐌 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐊𝐚𝐦𝐩𝐞𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐂𝐡𝐚𝐝𝐞𝐦𝐚 𝐲𝐚 '𝐍𝐨 𝐑𝐞𝐟𝐨𝐫𝐦𝐬 𝐍𝐨 𝐄𝐥𝐞𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧?" 𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐨 𝐦𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐡𝐨𝐣𝐚?

1. Ni wakati wa ccm kufanya "Reforms" zake ndani ya Chama kabla ya hiyo inayodaiwa na Chadema.

2. Vita ianzie online mpaka kwenye FIELD ikiwa na watu smart wa kujibu hoja zenye mashiko na ushawishi zisizoacha Maswali wala Kuleta taharuki.

3. Chadema sio ya kuidharau ni Chama Kikubwa, kina wasomi na wajenga hoja wazuri na wahamasishaji wazuri, wenye uwezo wa kutumia lugha rahisi Katika kuelezea masuala magumu ya Kitaifa.

Kwahiyo CCM iache kutumia Machawa wanaosifia kila wakati hata pale mambo yanapokuwa yanaharibika. Machawa yanakipoteza Chama.

4. Mwenyekiti wa Chama na Rais wa JMT, Mh. Mama Samia, atumie Nafasi yake ya Uenyekiti kushawishi Halmashauri Kuu ya Taifa kuridhia kuwateua viongozi wapya kubadilisha Upepo wa Kisiasa, ukizingatia Katibu Mkuu wa sasa Dr. Emmanuel Nchimbi siku chache zijazo atakuwa Mgombea mwenza Nafasi ya Urais. Kwahiyo kwa maoni yangu ateue wafuatao:

i)Dr. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama na Mzee Wasira apumzike.

ii) Paul Makonda kuwa Katibu Mkuu wa Chama kuchukua Nafasi ya Dr. Nchimbi.

iii) Ndugu Balozi Humphrey Polepole kuwa Mwenezi Taifa, halafu Ndugu Amos Makalla naye apangiwe majukumu mengine.

Hapa CCM itakuwa moto, Haitapoa.

5. CCM iache propaganda zile za ukiwapa wapinzani wataleta Vita, au kama hiyo kauli ya Kununua Ebola na M-Pox. Tujikite kwenye Hoja zaidi, Chadema ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya Mbowe.

Machache ya Chama changu CCM kufanyia kazi ni hayo.
Sasa kama unaona hao uliowataja ndio wako smart basi kuna shida pahala 😆😆😆
 
Labda nikuulize, kwa Chadema kufanya Mkutano mmoja tena ambao asilimia 99 ya wananchi hawajui wameongea nini, unawezaje kusema CCM ijitafakari? Kwa taarifa yako, CCM inazijua siasa za nchi hii na za Afrika ya Mashabiki, Kati na Kusini kuliko mtu yeyote yule.
Binafsi nakwenda kinyume na mawazo ya wanaccm wenzangu kama wewe. Nyie ndo mnasababisha viongozi wetu wasione umuhimu wa ku-mordenize sera na mabadiliko ya Chama ili kuendana na wakati.

Hivi Karne hii utaingizaje propaganda za KUSEMA upinzania wanataka Kununua M-Pox [emoji15][emoji15]
 
Ila nikikumbuka uropokaji wa Ccm daah!!
Yule Kheri James alisema Safari hii(2020) wanamdunga sindano sio risasi tena,Mpaka leo jamaa hata kuhojiwa..Ila iposiku hii tutaikumbushia tu.
 
Kauli ya Mwenezi CCM Taifa, Comrade CPA Amos Makalla kwamba Chadema wanakusanya Pesa ili wanunue virusi vya Ebola na M-Pox kusambaza Tanzania na kuzuia Uchaguzi usifanyike, ni dhahiri Nafasi hiyo imeanza kumpwaya.

Na hii ni kufuatia Kampeni ya Chadema inayoendelea ya "No Reforms, No Election"

Kampeni ya Chadema inaonekana mwiba mkali sana kwasababu CCM kumekosekana viungo washambuliaji.

Kama ilivyo kwenye game ya Mpira kocha akiona Kuna mchezaji hamalizii mipira golini hulazimika kumtoa nje na kumwingiza mwingine kuziba gaps, ndivyo ilivyo hata kwenye Siasa. Natumaini Mwenyekiti wetu mama Samia atasuka upya kikosi.

Kuepuka aibu ya Chama Katika Karne hii ya leo, nashauri kauli ya Makalla ibaki kuwa ni kauli yake binafsi, na si kauli ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kwa Kizazi hiki (Elite Generation/Gen Z) huwezi kutumia Propaganda za miaka ya 1970's huko.

Nilishasema tangu mwanzo kuwa Tundu Lissu sio Freeman Mbowe.

Ogopa sana mtu anayeweza kukikosoa hata Chama Chake kinapokosea, hizo ni hulka na Kaliba za mtu kama hayati Magufuli, hakufumba macho kukemea maovu ya Chama hadharani.

Hawa watu wamejipanga Kwa hoja na sio Propaganda. Kwahiyo ccm pia tuwe tayari kwenda nao "Bampa 2 Bampa" "Hoja Kwa Hoja" "Mguu kwa Mguu". Tusiishiwe hoja!

𝐍𝐢𝐧𝐢 𝐊𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐞 𝐂𝐂𝐌 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐊𝐚𝐦𝐩𝐞𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐂𝐡𝐚𝐝𝐞𝐦𝐚 𝐲𝐚 '𝐍𝐨 𝐑𝐞𝐟𝐨𝐫𝐦𝐬 𝐍𝐨 𝐄𝐥𝐞𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧?" 𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐨 𝐦𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐡𝐨𝐣𝐚?

1. Ni wakati wa ccm kufanya "Reforms" zake ndani ya Chama kabla ya hiyo inayodaiwa na Chadema.

2. Vita ianzie online mpaka kwenye FIELD ikiwa na watu smart wa kujibu hoja zenye mashiko na ushawishi zisizoacha Maswali wala Kuleta taharuki.

3. Chadema sio ya kuidharau ni Chama Kikubwa, kina wasomi na wajenga hoja wazuri na wahamasishaji wazuri, wenye uwezo wa kutumia lugha rahisi Katika kuelezea masuala magumu ya Kitaifa.

Kwahiyo CCM iache kutumia Machawa wanaosifia kila wakati hata pale mambo yanapokuwa yanaharibika. Machawa yanakipoteza Chama.

4. Mwenyekiti wa Chama na Rais wa JMT, Mh. Mama Samia, atumie Nafasi yake ya Uenyekiti kushawishi Halmashauri Kuu ya Taifa kuridhia kuwateua viongozi wapya kubadilisha Upepo wa Kisiasa, ukizingatia Katibu Mkuu wa sasa Dr. Emmanuel Nchimbi siku chache zijazo atakuwa Mgombea mwenza Nafasi ya Urais. Kwahiyo kwa maoni yangu ateue wafuatao:

i)Dr. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama na Mzee Wasira apumzike.

ii) Paul Makonda kuwa Katibu Mkuu wa Chama kuchukua Nafasi ya Dr. Nchimbi.

iii) Ndugu Balozi Humphrey Polepole kuwa Mwenezi Taifa, halafu Ndugu Amos Makalla naye apangiwe majukumu mengine.

Hapa CCM itakuwa moto, Haitapoa.

5. CCM iache propaganda zile za ukiwapa wapinzani wataleta Vita, au kama hiyo kauli ya Kununua Ebola na M-Pox. Tujikite kwenye Hoja zaidi, Chadema ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya Mbowe.

Machache ya Chama changu CCM kufanyia kazi ni hayo.
Ulikomalizia Andiko lako ndio target Yako

Bongo bhana hatari sana
 
Nikiikumbuka CCM iliyoongozwa na Mwenezi Paul Sozigwa tena alipanda treni ya katika safari za kukiimarisha chama, Makalla anapwaya sana.
 
Binafsi sioni sababu ya kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi. Chadema sio ya kuiogopa hata chembe.
Sio kwamba ccm hawataki tume huru ya uchaguzi, lakini matokea halisi ambayo huwa hayatangazwi hayatoi ruhusa ya kukubali tume huru. Matokea ya kweli sio rafiki kabisa kwa ccm.
 
Kauli ya Mwenezi CCM Taifa, Comrade CPA Amos Makalla kwamba Chadema wanakusanya Pesa ili wanunue virusi vya Ebola na M-Pox kusambaza Tanzania na kuzuia Uchaguzi usifanyike, ni dhahiri Nafasi hiyo imeanza kumpwaya.

Na hii ni kufuatia Kampeni ya Chadema inayoendelea ya "No Reforms, No Election"

Kampeni ya Chadema inaonekana mwiba mkali sana kwasababu CCM kumekosekana viungo washambuliaji.

Kama ilivyo kwenye game ya Mpira kocha akiona Kuna mchezaji hamalizii mipira golini hulazimika kumtoa nje na kumwingiza mwingine kuziba gaps, ndivyo ilivyo hata kwenye Siasa. Natumaini Mwenyekiti wetu mama Samia atasuka upya kikosi.

Kuepuka aibu ya Chama Katika Karne hii ya leo, nashauri kauli ya Makalla ibaki kuwa ni kauli yake binafsi, na si kauli ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kwa Kizazi hiki (Elite Generation/Gen Z) huwezi kutumia Propaganda za miaka ya 1970's huko.

Nilishasema tangu mwanzo kuwa Tundu Lissu sio Freeman Mbowe.

Ogopa sana mtu anayeweza kukikosoa hata Chama Chake kinapokosea, hizo ni hulka na Kaliba za mtu kama hayati Magufuli, hakufumba macho kukemea maovu ya Chama hadharani.

Hawa watu wamejipanga Kwa hoja na sio Propaganda. Kwahiyo ccm pia tuwe tayari kwenda nao "Bampa 2 Bampa" "Hoja Kwa Hoja" "Mguu kwa Mguu". Tusiishiwe hoja!

𝐍𝐢𝐧𝐢 𝐊𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐞 𝐂𝐂𝐌 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐊𝐚𝐦𝐩𝐞𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐂𝐡𝐚𝐝𝐞𝐦𝐚 𝐲𝐚 '𝐍𝐨 𝐑𝐞𝐟𝐨𝐫𝐦𝐬 𝐍𝐨 𝐄𝐥𝐞𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧?" 𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐨 𝐦𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐡𝐨𝐣𝐚?

1. Ni wakati wa ccm kufanya "Reforms" zake ndani ya Chama kabla ya hiyo inayodaiwa na Chadema.

2. Vita ianzie online mpaka kwenye FIELD ikiwa na watu smart wa kujibu hoja zenye mashiko na ushawishi zisizoacha Maswali wala Kuleta taharuki.

3. Chadema sio ya kuidharau ni Chama Kikubwa, kina wasomi na wajenga hoja wazuri na wahamasishaji wazuri, wenye uwezo wa kutumia lugha rahisi Katika kuelezea masuala magumu ya Kitaifa.

Kwahiyo CCM iache kutumia Machawa wanaosifia kila wakati hata pale mambo yanapokuwa yanaharibika. Machawa yanakipoteza Chama.

4. Mwenyekiti wa Chama na Rais wa JMT, Mh. Mama Samia, atumie Nafasi yake ya Uenyekiti kushawishi Halmashauri Kuu ya Taifa kuridhia kuwateua viongozi wapya kubadilisha Upepo wa Kisiasa, ukizingatia Katibu Mkuu wa sasa Dr. Emmanuel Nchimbi siku chache zijazo atakuwa Mgombea mwenza Nafasi ya Urais. Kwahiyo kwa maoni yangu ateue wafuatao:

i)Dr. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama na Mzee Wasira apumzike.

ii) Paul Makonda kuwa Katibu Mkuu wa Chama kuchukua Nafasi ya Dr. Nchimbi.

iii) Ndugu Balozi Humphrey Polepole kuwa Mwenezi Taifa, halafu Ndugu Amos Makalla naye apangiwe majukumu mengine.

Hapa CCM itakuwa moto, Haitapoa.

5. CCM iache propaganda zile za ukiwapa wapinzani wataleta Vita, au kama hiyo kauli ya Kununua Ebola na M-Pox. Tujikite kwenye Hoja zaidi, Chadema ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya Mbowe.

Machache ya Chama changu CCM kufanyia kazi ni hayo.
hiyo ya bashiru kuwa makamu mwenyekiti achana na hiyo.mengine ni sawa kabisa .tena muda unaenda haraka sana.Mama zinduka .otherwise unaweza kuandika history mbaya KWAMBA uliingia ikulu kwa bahati mbaya kutokana na kifo cha rais na ameondolewa madarakani kwa watanzania kutokuwa na imani naye.Hapa issue ya DP world naona ni mwiba kwa sisiemu
 
Wewe unataka iendelee kuishii?Wengi tunaomba usiku na mchana ikate pumzi angalau tupumzike wametuchosha mnooo
CCM ina itikadi safi na katiba safi, ni wachache tu ndo wanaoharibu Chama kionekane hakifai. Lakini Ukweli ni kwamba ccm tangu kipindi cha waasisi wake kina malengo makubwa na mazuri sana kuhusu Tanzania na watu wake.
 
Wengine tulisema mapema kupambana na lissu sio mchezo, makalla ametepeta dakika ya kwanza tu😂😂
Kauli ya Mwenezi CCM Taifa, Comrade CPA Amos Makalla kwamba Chadema wanakusanya Pesa ili wanunue virusi vya Ebola na M-Pox kusambaza Tanzania na kuzuia Uchaguzi usifanyike, ni dhahiri Nafasi hiyo imeanza kumpwaya.

Na hii ni kufuatia Kampeni ya Chadema inayoendelea ya "No Reforms, No Election"

Kampeni ya Chadema inaonekana mwiba mkali sana kwasababu CCM kumekosekana viungo washambuliaji.

Kama ilivyo kwenye game ya Mpira kocha akiona Kuna mchezaji hamalizii mipira golini hulazimika kumtoa nje na kumwingiza mwingine kuziba gaps, ndivyo ilivyo hata kwenye Siasa. Natumaini Mwenyekiti wetu mama Samia atasuka upya kikosi.

Kuepuka aibu ya Chama Katika Karne hii ya leo, nashauri kauli ya Makalla ibaki kuwa ni kauli yake binafsi, na si kauli ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kwa Kizazi hiki (Elite Generation/Gen Z) huwezi kutumia Propaganda za miaka ya 1970's huko.

Nilishasema tangu mwanzo kuwa Tundu Lissu sio Freeman Mbowe.

Ogopa sana mtu anayeweza kukikosoa hata Chama Chake kinapokosea, hizo ni hulka na Kaliba za mtu kama hayati Magufuli, hakufumba macho kukemea maovu ya Chama hadharani.

Hawa watu wamejipanga Kwa hoja na sio Propaganda. Kwahiyo ccm pia tuwe tayari kwenda nao "Bampa 2 Bampa" "Hoja Kwa Hoja" "Mguu kwa Mguu". Tusiishiwe hoja!

𝐍𝐢𝐧𝐢 𝐊𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐞 𝐂𝐂𝐌 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐊𝐚𝐦𝐩𝐞𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐂𝐡𝐚𝐝𝐞𝐦𝐚 𝐲𝐚 '𝐍𝐨 𝐑𝐞𝐟𝐨𝐫𝐦𝐬 𝐍𝐨 𝐄𝐥𝐞𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧?" 𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐨 𝐦𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐡𝐨𝐣𝐚?

1. Ni wakati wa ccm kufanya "Reforms" zake ndani ya Chama kabla ya hiyo inayodaiwa na Chadema.

2. Vita ianzie online mpaka kwenye FIELD ikiwa na watu smart wa kujibu hoja zenye mashiko na ushawishi zisizoacha Maswali wala Kuleta taharuki.

3. Chadema sio ya kuidharau ni Chama Kikubwa, kina wasomi na wajenga hoja wazuri na wahamasishaji wazuri, wenye uwezo wa kutumia lugha rahisi Katika kuelezea masuala magumu ya Kitaifa.

Kwahiyo CCM iache kutumia Machawa wanaosifia kila wakati hata pale mambo yanapokuwa yanaharibika. Machawa yanakipoteza Chama.

4. Mwenyekiti wa Chama na Rais wa JMT, Mh. Mama Samia, atumie Nafasi yake ya Uenyekiti kushawishi Halmashauri Kuu ya Taifa kuridhia kuwateua viongozi wapya kubadilisha Upepo wa Kisiasa, ukizingatia Katibu Mkuu wa sasa Dr. Emmanuel Nchimbi siku chache zijazo atakuwa Mgombea mwenza Nafasi ya Urais. Kwahiyo kwa maoni yangu ateue wafuatao:

i)Dr. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama na Mzee Wasira apumzike.

ii) Paul Makonda kuwa Katibu Mkuu wa Chama kuchukua Nafasi ya Dr. Nchimbi.

iii) Ndugu Balozi Humphrey Polepole kuwa Mwenezi Taifa, halafu Ndugu Amos Makalla naye apangiwe majukumu mengine.

Hapa CCM itakuwa moto, Haitapoa.

5. CCM iache propaganda zile za ukiwapa wapinzani wataleta Vita, au kama hiyo kauli ya Kununua Ebola na M-Pox. Tujikite kwenye Hoja zaidi, Chadema ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya Mbowe.

Machache ya Chama changu CCM kufanyia kazi ni hayo.we
 
Binafsi nakwenda kinyume na mawazo ya wanaccm wenzangu kama wewe. Nyie ndo mnasababisha viongozi wetu wasione umuhimu wa ku-mordenize sera na mabadiliko ya Chama ili kuendana na wakati.

Hivi Karne hii utaingizaje propaganda za KUSEMA upinzania wanataka Kununua M-Pox [emoji15][emoji15]
Haahaa Yaani mpaka aibu😂😂
 
Na kama ni kweli je? Kwanini una conclude sio kweli na huna ushahidi wa uongo? Je, unahisi wewe ndio uko sahihi!?
 
CCM ina itikadi safi na katiba safi, ni wachache tu ndo wanaoharibu Chama kionekane hakifai. Lakini Ukweli ni kwamba ccm tangu kipindi cha waasisi wake kina malengo makubwa na mazuri sana kuhusu Tanzania na watu wake.
Hata mtoto atakuambia uongo,umesha jua uchafu wa kwenye chaguzi hata tu zile zao za ndani,sasa njoo za ushindani,achana na mengine ambayo ni wajibu wao kwa watanzania na taifa.
 
Back
Top Bottom