MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Salam wanaJF,
Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:
1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.
Nawasilisha.
1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo - HATUNA MPANGO HUO KWA SASA, RUZUKU HAITOSHI HATA MISHAHARA YA VIONGOZI.
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama - KWA SASA HATUNA UKOMO, MPAKA CHAMA KIIMARIKE.
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali. - TUMEWEZA KULETA UKOMBOZI WA FIKRA KWA WANANCHI!
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.- KWANI WEWE HUJUI ANATOKEA WAPI?
Una swali jingine? haya kama hujaridhika ondoka mapema, kabla haujapigwa! sasa hivi kila msaliti tunampa kichapo!