Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Mi sihami,hata familia yangu hawahami
 
ukihama hakuna shida kwani hakuna aliyekuita kujiunga katika msafara huu

pili ofisi za mikoani zitajengwa na mikoa yenyewa wala sio viongozi wa chama.

tatu acha kumkosea zito maana yeye ni kiongozi wa vikao vyote vya kitaifa vya chama.

usitumike,
jutia muda wako kwa maendeleo ya tanzania
 
Waite wenzako muhame mapema hakuna kuendekeza upuuzi Exit kwani unapata nini Chadema na ukiondoka utapoteza nini ? Ondokeni
 
weweeee kaambali waachie wenzio kama vipi anzisha chako nenda kajisajili tengeneza hayo masharti utapata wakukunga mkono ....tabu ya nini kuumiza kichwa
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Wewe na nani? Mimi sina cha kuhoji kazi ya chama inaenda vizuri, na mwenyekiti wa CCM amekiri atang'olewa, wewe unataka nini zaidi!
 
Kwa maoni yangu! sina uhakika, kama kuna kirusi cha mwisho na ndiyo karata ya mwisho ya CCM basi ni Zitto, kama nakosea anisamehe, aliye late mtafaruku ndani ya CDM kugombea urais ni Zitto, akiwa anapigia kampeni na JK kikwete, shangaa! kama kuna mtu anakubalika kwa kiasi kikubwa na wana magamba humu JF ni Zitto, mtu ambaye kasimamiwa sana na wakina julliana shonza ni Zitto, kuna kipindi Zitto alitaka Kuwa mwenyekiti wa chama waliyo waliyokuwa wakimfadhili ni wakina ROSTAM sasa fikilia kama huyu ndiyo anakuwa mwenyekiti wa CHADEMA! kazi ni nzito sana! Tanzania hakua demokrasi nikundi la watu wenye njaa kali waliyo tayari kuuza utu wao ili waweke chochote tumboni!
 
Kama sio Lukuvi Basi wewe ni ZZK. Uzuri wa jamvi tunatumi ID tofauti na maji yetu halisi lakn huwa haichukui muda kujua ID halisi ya mtoa hoja kulingana na mchango wake.
 
tusipopewa? ww na nani jisemee mwenyewe na wala hautokuwa wa kwanza kuhama au na ww una jina feki kama mwenzio?

Nakushauri uhame sasa hivi kwa sababu ni suala la kidemokrasia.Mwanachama mwaminifu wa Chadema hawezi kukipa masharti chama kwa kusema "usipofanya hivi nitahama chama".Hata hawa majambazi wa ccm sijawahi kuona wakiweka mapato na matumizi yao kwenye JF.
 
6.Kwanini ccm wanahimiza uchaguzi ndani ya chadema,huku wakisisitiza Mh,Mbowe na Dr.W.Slaa hawafai,halafu wanampigia chapuo Z.Kabwe kuwa ndiye mtu sahihi kuwa mwenyekiti wa Chadema,kwa nini!?ukijijibu hili chagua moja,KUONDOKA utuachie VITA ya UKOMBOZI WA TAIFA LETU,au UBAKI TUPAMBANE PAMOJA KUMUONDOA MKOLONI MWEUSI CCM.
 
ukihama hakuna shida kwani hakuna aliyekuita kujiunga katika msafara huu

pili ofisi za mikoani zitajengwa na mikoa yenyewa wala sio viongozi wa chama.

tatu acha kumkosea zito maana yeye ni kiongozi wa vikao vyote vya kitaifa vya chama.

usitumike,
jutia muda wako kwa maendeleo ya tanzania

Khaaaa!!! Mna Jeuri nyie!
 
TULIJUA TOKEA ZAMANI NGOMA YA WATOTO HAIKESHI,OLE WENU MURUHUSU DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA "kushney" sababu WACHAGA hawatakubali kupokonywa chama chao!!!!

Mods, hu Ukabila na Udini kama tukiachia na tusipoupiga vita tokea hatua za awali, utatugharimu sana kuundoa baadae. Watu kama huyu si wa kuachwa hivi hivi pasi kupata la kjifunza. Mwezi mmoja wa ban unamtosha sana na itakuwa fundisho na kwa wengne wanaotaka kutupleka huko ujingani. Asante.
 
Tz kuna vyama zaidi ya 20 hama kwani uanachama ni hiari.
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.
 
Naona lengo lako ni kutukanwa na vijana wa BAVICHA!Ngoja waje wakutolee uvivu.
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.
ww ni nani mpaka unahoji mambo hayo,, nikija nyumbani kwako nikitaka kuhoji kwa nini mke wako hakupi unyumba utanijibu???????
 
Kwa kweli kuna swala huwa linanitatiza sana, kuna Mada nyingi sana za CCM huwa zinatolewa na watu huwa huchangia kwa hoja na zingine kujibiwa zingine zinakosa majibu..
Lakin tukija huku kwetu huku CDM ikija Mada ya kuhoji kwann vile au kwann hivi.. Aisee ni hatari yan waweza vuliwa nguo hivi hivi unajiona..
Nikwamba hay a maswali hayanaga majibu au ndio katiba yetu inatuongoza hvyo au wakuu ndio wameagiza hvyo????
Mm naona ni udhaifu mkubwa kama ni watu wa hasira muda wote ni sangap mtajenga hoja??
au hilo La kujenga hoja tumewaachia wakina Lisu na Mnyika Bungeni tuuuuu!!!!.
 
Back
Top Bottom