Bora wewe umeliona hili na kulileta hapa jamvin.Ipo haja kwa hiyo intelijensia kufuatilia mambo ya msingi kama haya na sio kuvunja maandamano ya aman.Radio Iman+gazet la Al nur ni vyombo vya habari vya kichochezi na visivyokuwa na maadili.Binafsi nimekuwa nikifuatilia habari zao hasa wakati wa kampeni,kwa kweli inasikitisha,sijui kwa nini yanazidi kukumbatiwa!
nyie wakristo namuomba Mwenyeezimungu aangamize mipango yenu ya kuupiga vita uislam na akufungueni macho mjuwe kwamba uislam ndio dini ya haki na ndio dini ya amani. maaskofu wamekuwa ndio chanzo cha machafuko katika nchi nyingi za africa mfano burundi na sasa wanataka kuleta fitna hio hapa tanzania, sisi tunawaambia hivi sisi waislam kufa wakati tunaitetea dini yetu ni bora zaidi kuliko kuishi katika dunia hii. hivyo basi tunawaonya nyie maaskofu wachungaji na wafuasi wao msifikiri vita mnaoyotaka kuinzisha sisi hatuifahamu, tutawapiga kwa uwezo wa ALLAH na mtaangamia
Hivi utawala wa ki imla unaujuwa au basi tu unatumia misamiati ili uonekane kuwa unajuwa kiswahili... hivi yale majeshi ya kikristo kule Iraq, yanafanyakazi gani... Wanapiga mziki au sio?Damu ya wafia dini ni mbegu ya mazao mengi ya imani. Unaweza kuua mwili lakini huwezi kumfunga Mungu kutenda kazi. Mungu ana nguvu na uwezo kuliko mipango yote ya uislamu dunia nzima. Believe me imani ya kuua wengine ili kupanua himaya ya umma wa uislamu haitashinda dunia kama alivyofikiri Mohammed. Kama himaya nyingine mashuhuri zilivyoanguka ndivyo itakavyokuwa kwa uislamu unaojaribu kujipanua kwa kuuwa wasio waislamu. Kama unafikiri nakudanganya muulize rafiki yako Ahmedinejad, watu wanaochoka na ukandamizaji wa utawala wa ki imla wa uislamu ni wengi. Ninyi wengine hamjui mateso waliyomo ndugu zenu katika nchi hizi zinazotawaliwa ki imla kwa kisingizio cha sharia za mnyazi mungu, watu wamo katika kongwa zito. Na kila siku watu wanamgeukia Mungu wa kweli Iran. Wanasali kwa vificho, wakikamatwa wanauawa lakini wana amani mioyoni na wanafurahia uhuru wa kweli.
waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome,
mh!!!hii redio uchwala sana ndo mambo ya kuongea hayo mbona waislamu wengi wamesoma yaani mnapenda unafuu sana ndio maana mnapewa PhD za zawadi wakati wenzenu wanazihangaikia
nyie wakristo namuomba Mwenyeezimungu aangamize mipango yenu ya kuupiga vita uislam na akufungueni macho mjuwe kwamba uislam ndio dini ya haki na ndio dini ya amani. maaskofu wamekuwa ndio chanzo cha machafuko katika nchi nyingi za africa mfano burundi na sasa wanataka kuleta fitna hio hapa tanzania, sisi tunawaambia hivi sisi waislam kufa wakati tunaitetea dini yetu ni bora zaidi kuliko kuishi katika dunia hii. hivyo basi tunawaonya nyie maaskofu wachungaji na wafuasi wao msifikiri vita mnaoyotaka kuinzisha sisi hatuifahamu, tutawapiga kwa uwezo wa ALLAH na mtaangamia
Kwa mwislam ambaye amesoma na kuelewa sidhaani kama anaweza kukubaliana na huo mjadala, manake ni uongo mtupu na uchochezi. Hata ukifuatilia wanachosema si kweli maana wao ndo wachawi wa maendeleo yao, fanya tu utafiti mdogo wa shule za sekondari za kiislam kuhusu maendeleo yao utahisi k
ichefuchefu, manake viongozi ambao hawana elimu dunia wanang'anga'nia kuzisimamia hatimaye kuzipeleka ambako siko.
Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.
Unaandika na moyo unakusuta. Eti wakristo wanapendelewa kielimu!! Mtafananaje kielimu wakati muda mwingi unatumika kwenye bao na kunywa kahawa na kashata. Ninyi akili yenu ipo kwenye madrasa ambayo nayo hufundishwa kwa bakora.
Hongera Radio imani
"MESSEJI IS SENT"
Kuna mtu anadai Radio imani haina wasikilizaji wengi .
Coverage yake inakaribia "Radio free africa ya mwanza na inawasikilizaji wengi kuliko radio yoyote Tanzani
MIKOA AMBAYO RADIO FREE INAFIKA NA PAMOJA NA DAR ES SAAM,PWANI,MOROGORO,TANGA ,TABORA,MWANZA,MARA,KIGOMA,MTWALA,LINDI,UNGUJA,PEMBA,DODOMA,ARUSHA N.K
Wakristo huko makanisani kwenu huwa hakuna cha maana munachofanya zaidi ya kuwasingizia uongo waislamu.Mimi nimechoka na hoja zenu za kitoto.Hata mukipewa majibu ya kitafiti munarudia yale yale.Mfano waislamu kunywa kahawa na kula pilau au watumwa waliopelekwa Marekani wamebaki lakini wale wa Arabuni walihasiwa.Ujinga mtupu!.
Kuhusu kunywa kahawa na kashata ukarudi nyumbani kulala na kunywa bia ukaanguka njiani nini bora?.Angalia sasa hivi Tanzania kote kuna mabaa makubwa jirani kabisa na vituo vya polisi na mahakama hata za rufaa.Nini unategemea hapo?.
Kwenye bia huwa munaambizana uongo halafu munasahau ilikuwaje,ndio maana hatimae matamko ya kijinga yanatoka vinywani mwenu.
Mimi nimesikia kwenye kahawa kuwa Kikwete ndiye raisi wa kwanza Tanzania kutekeleza kiapo cha kuapishwa kwake kwa aslimia angalau 50.Amekuta madudu ya kanisa ambayo hayako kwenye katiba mpaka akifikiri anapata kizunguzungu na kushindwa kujizuia.Haya ameshindwa nayo na makanisa kwa upande wao wanalazimisha yatendeke.Hapa ndipo makanisa yanapopata taabu na kuwaza kumpindua.
Kikwete nakwambia! kauka nao mpaka mwisho, na hakuna utakachopoteza.
Shamsi Vuai,Mwema na yeyote mwengine katika polisi puuzeni porojo za Chadema.Ingekuwaje kama wanachadema wangeachwa na kuchoma moto msikiti!,si ingekuwa balaa zaidi !.
Hapo zamani mulizoea kutuzushia mambo na hatukuwa na sehemu ya kujitetea.Tukaonekana mbele ya jamii majuha.Leo tunajitetea munaanza kuleta chokochoko.
Hao ni masheikh uchwara wackupe taabu,cc waislaum tulioelimika hatuwezi kudanganywa na hao wapuuzi
yaani mimi nikitaka kuongeza kisukari uwa nasikiliza hiyo redio na nyingine iliyoko dar!full upuuzi,mashekhe wawe na degree kama mapadre labda IQ YAO ITAONGEZEKA!MTU UTAFELISHAJE WAKATI MITIHANI INAFANYA KWA NO?
Mkuu naona ukweli umekuuma. Ebu niambie jihad maana yake ni nini?? By the way, una taarifa kwamba Ijumaa ijayo kuna mfadhili mmoja kutoka Afghanistan atagawa misaada mbalimbali maeneo ya mtoni kwa aziz alli?? Nasikia hata pilau itakuwepo.