Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,155
Wenzetu mbona hawawapi hayo mapigo"Usimnyime mtoto au mke mapigo "
Sikumbuki nilisoma wapi huu mstari
Wenzetu mbona hawawapi hayo mapigo
WalioendeleaWenzenu kina nani.?
Watoto wa zamani waliwapenda bibi na babu zao sababu waliwasikiliza tofauti na wazazi waliopenda kutumia silaha ya mkono.
Isizidi kiasi.Ila mimi najisemea upande wangu sitafanya hivyo.Hata baba yangu hakuwahi kunipiga.Mama mwenyewe kafanya hivyo mara chache sana!Kwahiyo unapinga kipigo kilichozidi mtoto tu au unapinga kipigo kwa ujumla?...
kwamba wapigwe kwa kiwango chake au wasipigwe kabisa?
Kama jibu ni la pili nakupa pole sana kwani huna tofauti na aliyeenda kupambania suluba ziondolewe gerezani na jeshini matokeo yake... niishie hapo kwanza
Walikuwa ila nao kipindi wapo hivyo watoto wao walipapenda zaidi kwa wazee wao.Kwani hao Bibi na Babu hawakuwa Mama na Baba.?
Wenzetu mbona hawawapi hayo mapigo
MITHALI. 23:13 SUV"Usimnyime mtoto au mke mapigo "
Sikumbuki nilisoma wapi huu mstari
Naongea ninachokielewa kwa asilimia 99 boss.Wenzenu kina Nani? Huwa unaishiwa nao, au tamthilia zimeshakupumbaza ukafikiri ni uhalisia eeh!
Haya ya namna hii ndo yanafanya sisi wa pembeni tuumie na kukosa uvumilivu.Utafikir ni kosa la mtoto! Hapo ukimnunulia mtoto chochote cha kula unasolve kesi.Umenikumbusha, jana nilikuwa sehemu sasa kuna mtoto anamwambia mama yake nasikia njaa huku analia, yule mama alichukua fimbo akaanza kuchapa jamani, yule niliyekuwa nae akakosa uvumilivu alimsema sana yule mama.... Unakuta mzazi ana stress zake binafsi anamalizia kwa mtoto