Unapokwenda hospitali ukigundulika na yale wanayaita maradhi yasioambukiza kama Bp, kisukari au mengineyo swali la kwanza daktari atakalo kuulizaBora kaka angu. Havinaga faida zaidi ya kuchochea mambo yasiyofaa.
Walio wengi wanakosa muelekeo kwenye maisha wanabaki kuwa wategemezi tu, akipata kidogo pombe kwanzaSema wewe mdogo wangu.
Nimekumbuka mbali miaka ya nyuma tukiwa wadogo kulikuwa na jirani yetu huyo kila akirudi nyumbani amelewa hatari basi kazi yake ni kulia tu sa nikawa najiuliza faida ya pombe iko wapi hapo.
watu wanafiki sana ;
wanajifanya pombe hawanywi ila kuvunja amri kumi za Mungu wanaona sawa.
katika zile amri kumi Mungu alizompa Musa hakuna mahali wamesema usinywe pombe.
wanafiki hao hao hawajui kusema uongo ni dhambi ila sio kunywa mvinyo.
Nakushangaa unaposema hata ukae na mlevi meza moja ni sawa tu.Nini tena mdogo?
Wala sio ushamba kaka ake. Nionavyo wale wanywaji ndio wanakuwaga washamba.
Sasa kama umekunywa kazi yako ni kupiga kelele njia nzima huo si ndio ushamba.
Unapokwenda hospitali ukigundulika na yale wanayaita maradhi yasioambukiza kama Bp, kisukari au mengineyo swali la kwanza daktari atakalo kuuliza
"UNAKUNYWA POMBE"
yaaani hii kitu ni mzazi wa matatizo karibia yote mwilini.
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Waooo, wacha wapongezaneTujipongeze tu mwaya pia nadhani tuko sawa mumy , mana mi pia sijawahi tamani na wala sijawahi muonea wivu mtu akinywa pombe hata niwe nimekaa nae meza moja.
Huo ndio ukweli na hata kwa wale wenye kipato cha kueleweka huwa pesa zao zinaishia kwenye kununulia vinywaji kwa marafiki.Walio wengi wanakosa muelekeo kwenye maisha wanabaki kuwa wategemezi tu, akipata kidogo pombe kwanza
[emoji106] [emoji6]Hata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake
Yaani endapo inatokea mfano nipo shereheni hata nikikaa na yule anayeagiza bia akanywa huwa sitamani hiyo pombe.Nakushangaa unaposema hata ukae na mlevi meza moja ni sawa tu.
Au umemaanisha yule ambaye hajalewa kuwa muda huo
Dah.... Kuwa mkweli ni ndiyo ulevi wenyewe...... Yaani mawasiliano ya ubongo yamevurugika...hauwezi kudhibiti kitu tena..Ni rahisi sana kupata habari siri kwa mlevi....Kama unataka habari za siri kwa mlevi wewe mpe pombe tu....atazimwaga zote....hata kama aliwahi kubaka siku za nyuma...[emoji13] [emoji13]Watu wasokunywa pombe huwa wanafiki sana. Mnywaji huwa mkweli daima. Anachosema ndiyo humaanisha.
Dah.... Pombe ikiisha ndiyo unaziona ndom ziko palepale...mpyaaaa[emoji125] [emoji125]Hata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake
Kweli kabisa.
Pole sana kaka ake. Ila kama unaweza kuvimudu wala usipate shida.Ni kweli dada! Sometimes naonaga groups ndio huwa zinashawishi, ila wakiona unamsimamo utegemee majungu na masengenyo ya hali ya juu!