Aisee usiombe upate totoz Kali afu inakunywa, yaan kwenye kutifuana ndom inaweza vuka ukaendelea kuchezea kwenye danger zone.Hata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake
I wish this weekend we could be together somewhere Tabata having funny with beerBilashaka unajutia kutokunywa! Kwann ujipe tabu anza kunywa au bado unasoma? Binafsi sitakaa nijutie kutokunywa pombe hata siku moja
Mi sisteri hvo vitu vinipitie mbaliHivi kaka angu nawe sio mpigaji wa vile vitu ee?.
Hongera sana.[emoji122]
Dah...Pombe bana🙂🙂
Kazi kubwa ya pombe mwilini ni kutia uchizi..
Unapokunywa pombe...kimelea cha pombe(Ethanol) huingia kwenye damu na huenda kupenya katikati ya seli za ubongo na kukata/kuharibu mawasiliano na sehemu nyingine za mwili..ndiyo maana mlevi huwa anashindwa kujidhibiti...kujiona yeye ndiyo bora kuliuko binadam mwingine..kuongea/kucheka kwa sauti ya juu...kutukana...kupigana...kulia bila sababu....kuwa mzembe kwa kutovaa viatu.....na majuto yote huja baada ya pombe kuisha...na hiyo ndiyo huwa salama yake...kwani unywaji wa pombe uliokithiri huishia kwenye koma au kifo....Uamuzi ni wako.😀😀😀😀😀
Tujipongeze tu mwaya pia nadhani tuko sawa mumy , mana mi pia sijawahi tamani na wala sijawahi muonea wivu mtu akinywa pombe hata niwe nimekaa nae meza moja.
[emoji15]Tujipongeze tu mwaya pia nadhani tuko sawa mumy , mana mi pia sijawahi tamani na wala sijawahi muonea wivu mtu akinywa pombe hata niwe nimekaa nae meza moja.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
OyeeeeeeeeeeeTusiokunywa Pombe oyeeeeeeeeee
Mmh. Aisee mkuu hivyo ndio unavyoaminiWatu wasokunywa pombe huwa wanafiki sana. Mnywaji huwa mkweli daima. Anachosema ndiyo humaanisha.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Teheheheeh majibu ya wanywaji yamenipa raha kweli maana nimecheka sina mbavu, leo nitawapa ofa woteee wanaokunywa
Bora kaka angu. Havinaga faida zaidi ya kuchochea mambo yasiyofaa.Mi sisteri hvo vitu vinipitie mbali
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Sema wewe mdogo wangu.Mnaokunywa pombe mnatupa shida sana
Nini tena mdogo?[emoji15]
Wala sio ushamba kaka ake. Nionavyo wale wanywaji ndio wanakuwaga washamba.Kuepuka pombe kuna mitihani mingi sana! Ila acha niwe mshamba! Pombe sinywi!