Hahaha ww lazima unielewe bwana,niwapendao wako poa ,mmojawapo ww na mwanao mko poa [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahaaa. Kweli kabisa ila pacha wako kakuelewa barabara. [emoji2]
Nimeshinda salama my. Sijui kwako na uwapendao.
Nashukuru sana pacha. Penda sana weye. [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahaha ww lazima unielewe bwana,niwapendao wako poa ,mmojawapo ww na mwanao mko poa [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Yule mkaka ndiyo amenifundishaa[emoji85] nisamehe Dada sirudiii tena[emoji19]Marahaba mdogo wangu.
Usinikimbie mdogo wangu hebu niambie umeanza lini hii tabia hata dada yako sina taarifa. [emoji2]
Nawe pia pacha wangu [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nashukuru sana pacha. Penda sana weye. [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Uwe na usiku mwema my.
Kesho asubuhi natia timu tukamsake mdogo wangu ili anipe sababu za kukufanya wewe upende hiyo kitu.Yule mkaka ndiyo amenifundishaa[emoji85] nisamehe Dada sirudiii tena[emoji19]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawe pia pacha wangu [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mmmh kiasi tonsez zinaniuma, hata hivi nimelala.Kesho asubuhi natia timu tukamsake mdogo wangu ili anipe sababu za kukufanya wewe upende hiyo kitu.
Vp lakini umeshinda salama?
Pole sana mdogo wangu pia jitahidi kupunguza vitu vya baridi.Mmmh kiasi tonsez zinaniuma, hata hivi nimelala.
Ahsante my Dada, na kwako pia[emoji7]Pole sana mdogo wangu pia jitahidi kupunguza vitu vya baridi.
Uwe na usiku mwema mdogo wangu.[emoji8]
Pamoja sana mkuu. Acha tulewe tu.Hata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake
Safi sana ulikomeshwa ....mm nashangaa kweli "a man who cant drink" labda awe mgonjwa.
Tz ilikuwa nadra sana ila ugenini ni kila weekendsYaani mkuu huo ubaguzi wa kwenye sherehe ndio ukukoseshe amani.
Kwani kwenye sherehe kwa mwezi unaenda mara ngapi?
Hakuna mwanaume ambaye hajui faida za pombe acha kutuaibishaUkinipa faida mbili tu za pombe ambazo sio za kutengeneza nitaanza kunywa na mimi leo hii ili niwe mwanaume kamil
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Mimi ninazozijua ni fatty liver, liver cirhosis, nephrotic syndrome, alcohol addiction na nyengine nyingi. kama nimekosea naomba kurekebishwa.Hakuna mwanaume ambaye hajui faida za pombe acha kutuaibisha