Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

Acha Maneno

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
49
Reaction score
96
Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila ya kupata majibu 😭

Nimehitimu Diploma ya Uhasibu kwa shida sana, maana nilikuwa natumia nguvu ya ziada kutafuta wanafunzi wenzangu wanisaidie walichofundisha Lecturers Darasani kwakuwa nilikuwa sisikii wakifundisha.

Baada ya kufaulu na kupata GPA iliyoniruhusu kuendelea na Degree nikakwama kwenye kulipia ada, ikabidi niingie mtaani kutafuta kazi.

Nimetafuta kazi sehemu tofauti lakini nimekosa, kuna baadhi ya watu niliowaomba kazi waliniweka wazi baada ya kuwaomba sana wakaniambia "Hawawezi kuajiri mtu mwenye shida ya usikivu".

Tatizo nililonalo
Nina shida ya masikio kuvuma kwahyo hili tatizo linanifanya nisielewe kinachozungumzwa japokuwa nasikia sauti. Napata changamoto hasa mtu anapoongea kwa haraka au anapoongea kwa kumung'unya maneno.

KUNA BAADHI YA WATU NINAWASILIANA NAO VIZURI KABISA KUTOKANA NA UONGEAJI WAO, NA KUNA MUDA MAZINGIRA YA UKIMYA YANANIPA AFUHENI KUBWA YA KUWASILIANA NA WATU.

SIJUI NI NANI ATANIAJIRI, INANIUMA SANA KUONA HAYA YAKINITOKEA NA UMRI WANGU UKIZIDI KUONGEZEKA BILA YA KUWA NA FUTURE YOYOTE.
 
Pole sana mkuu
Naomba jitahidi sana usiwe na wazo la kuajiriwa, fikiria zaidi kujiajiri na kusimama mwenyewe katika shughuli zako
Hii haihusian na changamoto yako katika usikivu hafifu ila kuajiriwa ni mbaya mno kwako
 
Kampuni ya Asas Kuna watu wameajiriwa wenye changamoto kama ya kwako ila wao hawawezi ata kuongea.wanachoweza ni kuandika kama wewe na lugha ya ishara.
Usikate tamaa mkuu focus kwenye taasisi zinazojihusisha na watu wa aina hiyo
 
Hilo ndilo lengo langu Mkuu lakini nakwama mtaji.

Nimejaribu kujiajiri lakini mambo ni magumu (sina mtaji) nilifungua Duka la mangi lakini biashara ikafa kutokana na ugumu wa biashara na mtaji kuwa mdogo. Nikapambana kufungua biashara nyengine licha ya kuwa sina mtaji unaoeleweka lakini nayo pia ikafa.

Baada ya kupambana sana kutafuta kazi na kukosa, ikabidi niende kuomba kibarua viwandani (KWA WACHINA).

Kaka ni Mungu tu ndiye anaejua ninayopitia huko viwandani. KAZI NI NGUMU SANA NA MALIPO NI MADOGO SANA NAKOSA HATA CHA KUWEKA AKIBA. NAFANYA KAZI MASAA 12 KWA SIKU NA MALIPO NI MADOGO SANA (HAKUNA VIFAA VYA KUJILINDA PPE).

NINA MATATIZO YA KIFUA LAKINI SINA JINSI INABIDI NIENDE HIVYOHIVYO.
 
Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila ya kupata majibu 😭

Nimehitimu Diploma ya Uhasibu kwa shida sana, maana nilikuwa natumia nguvu ya ziada kutafuta wanafunzi wenzangu wanisaidie walichofundisha Lecturers Darasani kwakuwa nilikuwa sisikii wakifundisha.

Baada ya kufaulu na kupata GPA iliyoniruhusu kuendelea na Degree nikakwama kwenye kulipia ada, ikabidi niingie mtaani kutafuta kazi.

Nimetafuta kazi sehemu tofauti lakini nimekosa, kuna baadhi ya watu niliowaomba kazi waliniweka wazi baada ya kuwaomba sana wakaniambia "Hawawezi kuajiri mtu mwenye shida ya usikivu".

Tatizo nililonalo
Nina shida ya masikio kuvuma kwahyo hili tatizo linanifanya nisielewe kinachozungumzwa japokuwa nasikia sauti. Napata changamoto hasa mtu anapoongea kwa haraka au anapoongea kwa kumung'unya maneno.

KUNA BAADHI YA WATU NINAWASILIANA NAO VIZURI KABISA KUTOKANA NA UONGEAJI WAO, NA KUNA MUDA MAZINGIRA YA UKIMYA YANANIPA AFUHENI KUBWA YA KUWASILIANA NA WATU.

SIJUI NI NANI ATANIAJIRI, INANIUMA SANA KUONA HAYA YAKINITOKEA NA UMRI WANGU UKIZIDI KUONGEZEKA BILA YA KUWA NA FUTURE YOYOTE.
Kunawatu wanausikivu mzuri na hawana ajira ni majobless ikiwemo na mimi, so usijione mnyonge kwa kudhani hali yako ndio chanzo. Hili nilawoote. Ilituweze jinasua kutoka hapa yapidi tu tuangalie shughuli binafsi za kufanya ilikuondokana na hali ya kukosa kipato ili kuendesh maisha.
 
Kampuni ya Asas Kuna watu wameajiriwa wenye changamoto kama ya kwako ila wao hawawezi ata kuongea.wanachoweza ni kuandika kama wewe na lugha ya ishara.
Usikate tamaa mkuu focus kwenye taasisi zinazojihusisha na watu wa aina hiyo
Nashukuru Mkuu,

Kama hautojali naomba unisaidie kunitajia Taasisi zinazotupa kipaumbele watu wenye matatizo kama nililokuwa nalo.
 
Hilo ndilo lengo langu Mkuu lakini nakwama mtaji.

Nimejaribu kujiajiri lakini mambo ni magumu (sina mtaji) nilifungua Duka la mangi lakini biashara ikafa kutokana na ugumu wa biashara na mtaji kuwa mdogo. Nikapambana kufungua biashara nyengine licha ya kuwa sina mtaji unaoeleweka lakini nayo pia ikafa.

Baada ya kupambana sana kutafuta kazi na kukosa, ikabidi niende kuomba kibarua viwandani (KWA WACHINA).

Kaka ni Mungu tu ndiye anaejua ninayopitia huko viwandani. KAZI NI NGUMU SANA NA MALIPO NI MADOGO SANA NAKOSA HATA CHA KUWEKA AKIBA. NAFANYA KAZI MASAA 12 KWA SIKU NA MALIPO NI MADOGO SANA (HAKUNA VIFAA VYA KUJILINDA PPE).

NINA MATATIZO YA KIFUA LAKINI SINA JINSI INABIDI NIENDE HIVYOHIVYO.
Pole sana mkuu
Unayopitia wanayapitia wengi hauko peke yako na wala sio Kwa sababu ya ulemavu ulionao
Me nataka uwe comfortable usiwaze hali yako ya ulemavu Bali jione kawaida, ajira wanakosa vijana wengi na mitaji ni changamoto Kwa vijana wengi.
Naamini wewe ni Bora mno waza biashara anzia chini, utainuka na kufanya vyema
Acha wazo la kuajiriwa kabisa
 
Unataka uajiriwe kwa sababu hausikii vizuri au kwa sababu una sifa za kuifanya kazi husika

Na ikitokea kuna wenye sifa kama wewe na wanasikia vizuri (ie hawana changamoto ya usikivu au nyingine yoyote) unafikiri ni kwanini uajiriwe wewe na wengine wasio na changamoto waachwe

Maisha hayaishii kwenye ajira tu kuna wenye sifa kama zako au hata kukuzidi nao hawana ajira au pia wanapambana kuipata

Nimeona unasema umejaribu kufanya biashara, ikafeli unaweza jaribu nyingine na nyingine pia kuna kazi za online work ambazo kwako zinaweza kukufaa zaidi tafuta uzi upo humu.
 
Sifa anazo, barrier ni usikivu unaelewa au unasikia tu?
 
Back
Top Bottom