Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

Vipi kuhusu biashara ya ujuzi (Trainer/Coach)? Una ujuzi wowote unaoweza kunufaisha wengine?

Si lazima iwe kile ulichosomea. Kama ndio, fungua kurasa mtandaoni na anza kufundisha bure, utapata wateja baadae (weka mafunzo mtandaoni ili isiwe lazima watu kuzungumza nawe moja kwa moja).
 
Back
Top Bottom