Tusikubali Wanasiasa Wapandikize Chuki Dhidi ya Polisi

We jamaa unajidai sana.Sijui unaringia nini hasa,unapata faida gani kuwaita binadamu wenako Nyumbu? Unajivunia UCCMM wako wakati hadi inakera.Uzi umeletwa,ume balance ila wewe unayejiona "malaika" unaona huu ni ujumbe wa hao Nyumbu!. Exposure kidogo zinawafanya mjione miungu na majiniazi kuliko hata akina Plato,Newton n.k
Hajakosea ni sawa kwa kuwa ushabiki umewafanya muwe vipofu na viziwi ,usikasirike sana,mbona hatujasikia hapa ukimlaani Mdee kwa kuleta matusi bungeni,ndio maana jamaa amewaita nyumbu,hamna kumbukumbu na mumekalia unafiki tu.
 
Nyani Ngabu,kuna siku mke wangu alikuwa anacheka sana,nikamuuliza kulikoni,akaniambia yupo JF Jukwaa la Hoja Mchanganyiko,anacheka comment ya Nyani Ngabu,nikamwambia unajua NN ni classmate wangu Mlimani P.S.!? Kilichofuata ni mshangao wa kuamini kama Mlimani ya back then iliweza kuwa na mwanafunzi "kilaza to the extend that hatambui jinsi yake sahihi aliyoumbwa nayo ni ipi". That is my wife's view on you "fella". Na uzuri mke wangu naye ni ex- Solomon Mahlangu P. S ( sasa ni Chief A. Luthuli P. S.)
Kwa ujumla,never call anyone asiye upande wako "nyumbu" au jina lolote lile baya kwa sababu huna integrity ya kufanya hivyo.

Kwanza kabisa, wewe ni mwongo. Mimi sijawahi kuwa classmate wako popote pale. Hivyo acha kujipendekeza na kuchukua ujiko eti ulikuwa classmate wa the legendary Nyani Ngabu.

Pili, kati yangu mimi na mkeo nani ni kilaza sasa? To "the extend that" ndo ushuzi gani huo?? Mnang'ang'ania lugha za watu ilhali zinawashinda. Kilaza ni wewe na huyo mkeo. Nyie wote combined hamzifikii akili zangu hata robo. Nimewaacha mbali mno.

Tatu, huyo mkeo naona analika kirahisi mno. Hapo tayari naona kabisa yeye ni fan wangu na nahisi hakosi kabisa kusoma mabandiko yangu humu. Ipo siku nitamla halafu uje kulialia humu kuwa 'Ngabu kanilia mke wangu'.

Nne, I'd hate to remind you that I warned you.....I've got a bullseye on your wife hommie[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kumlaani Mdee ni kazi yake au analazimishwa kufanya hivyo!? Acha kujitoa akili, hata wewe ukimlaani inatosha. Usilazimishe tufanane.

Hajakosea ni sawa kwa kuwa ushabiki umewafanya muwe vipofu na viziwi ,usikasirike sana,mbona hatujasikia hapa ukimlaani Mdee kwa kuleta matusi bungeni,ndio maana jamaa amewaita nyumbu,hamna kumbukumbu na mumekalia unafiki tu.
 
Dizain flan kama mnazingua hivi mjue, polisi sie wanatuhusu nini? Waache wapige watu ikibidi wawachinje wawapike supu wanywe na chapati ili wanenepeane!!!!! Angalieni vitu vya kupost jama
 
Nikiangalia mijadala mingi ndani ya JF (na hoja zangu zikiwemo) napata hofu sana kama kunajengwa dhana kwamba ni halali kupambana na jeshi la Polisi ama pia ni halali kuamrisha jeshi la Polisi kupambana na wananchi hata kama wakati mwingine ni wananchi wasio na hatia.

Kunajengwa chuki kubwa sana kwa wananchi dhidi ya jeshi la Polisi kwa jinsi linavyotumika. Kwa watu wa vyama vya upinzani wanajenga taswira kwamba Jeshi la Polisi linatumiwa na CCM dhidi yao. Na CCM nao wanaona ni halali Jeshi la Polisi "kuwashughulikia" wapinzani wao wasiotaka kutii "mamlaka halali".

CCM na wapinzani wao kisiasa ni wananchi wa Tanzania wanaoishi kwenye jamii yetu. Kama wapinzani wanapouawa Polisi wanaona ni afadhali na wao "kimewapata" na CCM nao wakiona ni "halali" kutumia Jeshi la Polisi dhidi ya wapinzani wao. Basi si CCM wala wapinzani wao watakaochukiwa na Polisi bali ni Polisi watakaochukiwa na Makundi hayo mawili ingawa itakuwa kwa wakati tofauti.

Siku CCM wakiona wapinzani wao wanaandamana na kufanya mikutano bila ya kuzuiwa na Polisi, lazima wataona Polisi limekuwa Jeshi legelege na watawachukia. Na siku wapinzani nao wakizuiwa kufanya mikutano na maandamano, wataona Jeshi la Polisi linatumika kisiasa.

Ili tusijenge chuki dhidi ya Jeshi la Polisi ni lazima tuliache Jeshi letu la Polisi lifanye kazi zake kwa weledi kwa kuzingatia sheria iliyounda jeshi hilo na taratibu zilizopo!
Hivi wewe na akili yako unaona jeshi la polisi linafanya kazi kwa weledi, jeshi limejaa watu walio foji vyeti, wengine hawajamaliza shule, ndio maana serikali haitaki kuhakiki vyeti vyao
 
Kwanza kabisa, wewe ni mwongo. Mimi sijawahi kuwa classmate wako popote pale. Hivyo acha kujipendekeza na kuchukua ujiko eti ulikuwa classmate wa the legendary Nyani Ngabu.

Pili, kati yangu mimi na mkeo nani ni kilaza sasa? To "the extend that" ndo ushuzi gani huo?? Mnang'ang'ania lugha za watu ilhali zinawashinda. Kilaza ni wewe na huyo mkeo. Nyie wote combined hamzifikii akili zangu hata robo. Nimewaacha mbali mno.

Tatu, huyo mkeo naona analika kirahisi mno. Hapo tayari naona kabisa yeye ni fan wangu na nahisi hakosi kabisa kusoma mabandiko yangu humu. Ipo siku nitamla halafu uje kulialia humu kuwa 'Ngabu kanilia mke wangu'.

Nne, I'd hate to remind you that I warned you.....I've got a bullseye on your wife hommie[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe hadi USA kuna wajinga wajinga kama wewe?
 
Chuki wameipandikiza CCM via mapolisi na sasa ni muda mujarabu wa kuvuna na ni lazima kuvuna, hakuna namna.
Kule Kibiti nk ni mavuno ya chuki
 
Hili jeshi tangu lini lina fanya kazi kwa weledi!?!?
Kwanza limeundwa kichama chama.
 
Nikiangalia mijadala mingi ndani ya JF (na hoja zangu zikiwemo) napata hofu sana kama kunajengwa dhana kwamba ni halali kupambana na jeshi la Polisi ama pia ni halali kuamrisha jeshi la Polisi kupambana na wananchi hata kama wakati mwingine ni wananchi wasio na hatia.

Kunajengwa chuki kubwa sana kwa wananchi dhidi ya jeshi la Polisi kwa jinsi linavyotumika. Kwa watu wa vyama vya upinzani wanajenga taswira kwamba Jeshi la Polisi linatumiwa na CCM dhidi yao. Na CCM nao wanaona ni halali Jeshi la Polisi "kuwashughulikia" wapinzani wao wasiotaka kutii "mamlaka halali".

CCM na wapinzani wao kisiasa ni wananchi wa Tanzania wanaoishi kwenye jamii yetu. Kama wapinzani wanapouawa Polisi wanaona ni afadhali na wao "kimewapata" na CCM nao wakiona ni "halali" kutumia Jeshi la Polisi dhidi ya wapinzani wao. Basi si CCM wala wapinzani wao watakaochukiwa na Polisi bali ni Polisi watakaochukiwa na Makundi hayo mawili ingawa itakuwa kwa wakati tofauti.

Siku CCM wakiona wapinzani wao wanaandamana na kufanya mikutano bila ya kuzuiwa na Polisi, lazima wataona Polisi limekuwa Jeshi legelege na watawachukia. Na siku wapinzani nao wakizuiwa kufanya mikutano na maandamano, wataona Jeshi la Polisi linatumika kisiasa.

Ili tusijenge chuki dhidi ya Jeshi la Polisi ni lazima tuliache Jeshi letu la Polisi lifanye kazi zake kwa weledi kwa kuzingatia sheria iliyounda jeshi hilo na taratibu zilizopo!
Ili kurudisha imani tena , Napendekeza jeshi la polisi livunjwe na liundwe upya kabisa , hawa makada wa ccm wakiongozwa na Nsato wapewe vyeo ccm , wapishe watu wapya wasio na chama kama katiba ya nchi inavyotaka .

Ikumbukwe kwamba Igp mstaafu , Omary Mahita aliwahi kugombea ubunge ccm ( kama sijakosea ) na kuangukia pua kwenye kura za maoni ,swali ni je alikuwa mwanaccm tangu lini ? kinyume na ushauri huu , lawama kwa jeshi hili hazitoisha milele .
 
We jamaa unajidai sana.Sijui unaringia nini hasa,unapata faida gani kuwaita binadamu wenako Nyumbu? Unajivunia UCCMM wako wakati hadi inakera.Uzi umeletwa,ume balance ila wewe unayejiona "malaika" unaona huu ni ujumbe wa hao Nyumbu!. Exposure kidogo zinawafanya mjione miungu na majiniazi kuliko hata akina Plato,Newton n.k
Nyani ngabu ni chizi flani anaejiona anajua kila kitu kumbe mpumbavu tu.
 
Kwa sasa kuna watz wawili wana majibu tofauti sn kuhusu polisi
1. Nape nnauye- HUYU alikuwa ndo mtoa amri kwa polisi kuamuru polisi kufanya yao kwa wapinzani lkn alipoguswa yeye anawaka mpaka leo
2. Lipumba- Huyu aliburutwa sn na kudharirishwa na polisi na aliwalaani hadi kuwasomea albadri lkn leo ndo swahiba wao mkuu kwa sasa....

NADHANI HAO WATU WAWILI WANAIJUA VZR POLISI KULIKO MTZ YEYOTE
Mpaka leo hii lipumba kahakikishiwa ulinzi na usalama kwa lolote atakalo Tanya wkt huo huo nape anatishiwa usalama wake kwa lolote analofanya.....
UJUMBE
1. SHABIKIA ccm ULINDWE NA POLISI
2. OPPOSE ccm UHATARISHE USALAMA WAKO NA KUTISHIWA NA KUBURUTWA NA POLISI
 
Nyani Ngabu,kuna siku mke wangu alikuwa anacheka sana,nikamuuliza kulikoni,akaniambia yupo JF Jukwaa la Hoja Mchanganyiko,anacheka comment ya Nyani Ngabu,nikamwambia unajua NN ni classmate wangu Mlimani P.S.!? Kilichofuata ni mshangao wa kuamini kama Mlimani ya back then iliweza kuwa na mwanafunzi "kilaza to the extend that hatambui jinsi yake sahihi aliyoumbwa nayo ni ipi". That is my wife's view on you "fella". Na uzuri mke wangu naye ni ex- Solomon Mahlangu P. S ( sasa ni Chief A. Luthuli P. S.)
Kwa ujumla,never call anyone asiye upande wako "nyumbu" au jina lolote lile baya kwa sababu huna integrity ya kufanya hivyo.
Kaka umejitahidi kumuelezea Nyani Ngabu alivyo.Nami naongeza.Ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.Hana staha,na deep inside him,he is very delicate to the extent that hawezi kuhimili kukosolewa.Nimekuja na hitimisho hili baada ya kufatilia anavyoshambilia watu pale wanapocomment kwenye mada zake.Wasipomuunga mkono basi wanastahili kuitwa nyumbu,wasioelewa na majina mengine ya hovyo.
Zamani mada na comments zake zilikuwa zinavutia.Sasa amekuwa nyani mzee,hata maoni yake yana ukakasi.
 
mageuzi makubwa yanatakiwa katika jeshi letu la polisi kulifanya liwe la kisasa zaidi...mimi nionavyo askari yeyote kwanzia private ni lazima awe atleast na diploma....ni wazi jeshi la polisi askari wa rank za chini wana elimu ndogo (form four) na kwa tunayoyaona sidhani kama wana elimu nzuri ya sheria...na hivi vyuo wanavyosoma mafunzo ya upolisi wawekewe mitaala inayoendana na kuzijua sheria vizuri zaidi kuliko hata mwananchi wa kawaida na sio kuzijua tu na mitihani wafanye na vyeti wapewe wakifeli wapigwe chini...na wao pia wawe mstari wa mbele kuwaelimisha wananchi juu ya sheria za nchi kupitia njia mbalimbali kama tv..wawe ata na magazine yao basi au ata mitando ya kijamii pia watumie kuelimisha watu(hapa askari wa barabarani wanajitahidi sana) na vitengo vingine waige
 
Back
Top Bottom