Tusikubali akili ndogo itawale akili kubwa

DAD'S SON

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
392
466
Akili(common sense)-ni ule uwezo wa mtu alionao kutatua vitu ambavyo anakutana navyo vya kimaisha na kuweza kuvitolea maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Je wajua kuwa mtu anaweza kuwa smart but akawa anakosa common sense(good sense and sound judgement in practical matters).Hapa ndo wengi tupo unakuta mtu yuko smart but hana common sense doh!.

Let leave it aside tujikite kwa kwa topic yetu.
Katika maisha yako my brothers and sisters usijekuruhusu mtu mwenye akili ndogo akutawale thats very bad,hata iwe nini don't give any position watu hawa watakuharibia project zako kwanini nasema ivi,sababu ni nyepesi sana watu wenye akili ndogo huwa hawaangalii future kabisaaa wao wanaangalia the present(Sasa).
Mfano ukiwa na mtu mwenye akili ndogo kwenye project yako anaweza akakuharibia alafu yeye asijali wala nini akatake easy kumbe huku anakuharibia kwa audience.

Mafanikio yako yanaletwa na akili kubwa unazoassociate nazo,ukiona akili ndogo iko over wewe mwenye akili kubwa jua umeliwa(umepotea na thamani tunaweza kukushusha).

NENO LA LEO:kuvuta bangi sehemu waliyokataza kuvuta bangi alafu haujakamatwa fahamu kuwa your very SMART but unalack COMMON SENSE kwa kutojua au kujua madhara ya hiyo bangi(Stupidity)
 
Mleta uzi umefunga?
Kama hujafunga karibu upate moja moto moja baridi uje uedit uzi wako huenda nikakuelewa!!
 
Back
Top Bottom