Mambo bado kabisa! Sielewi maridhiano na Lowasa jinsi yanavyotakiwa yawe! Ameonewa na kudhulumia kwa makusudi kabisa! Wala sidhani kama atakubali ingawa najua binafsi hatahama CCM lakini hatawaunga mkono!
Watu kama Nape wanasaidia sana kuufanya mpasuko huo kufanikiwa. Akiwa na Magufuli jijini Mwanza kasikika akiwaambia waliokuwepo kuwa mtu yeyote atakayeendelea kukilaumu chama hadharani wakiwemo wazee wanaowaheshimu (nadhani hapa alikuwa anamaanisha Kingunge) watashughulikiwa.
Sasa kama kila atakaye laumu ukiukaji wa kanuni anashughulikiwa sii ndio watakapoamua kujiondoa kama wafanyavyo sasa?
Na kura za hasira ni mbaya sanaTatizo viongozi wake wanadhani kupasuka ni kuhama kwa viongozi wake mashuhuri.
Kukatwa kwa lowassa kunaonesha jinsi watu wametengeza chuki baina ya makundi.
CCM wategemee adhabu ya kura za hasira.
Pole sana ndugu yangu ingawa mimi siungi mkono mauaji kwa sababu yoyote ile! Lowasa amekuwa kipenzi cha wengi sana hasa ndani ya CCM! Ndio ukweli hata katika mkutano wao mkuu waliimba mbele ya Kikete, " Nina imani na Lowasa, aa aa,aa! Lowasa kweli kweli......! Kwa sababu hao unawaita kuwa hawana akili, CCM ipo kwenye wakati mgumu. Huo ndo ukweli!!!msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa
Pole sana ndugu yangu ingawa mimi siungi mkono mauaji kwa sababu yoyote ile! Lowasa amekuwa kipenzi cha wengi sana hasa ndani ya CCM! Ndio ukweli hata katika mkutano wao mkuu waliimba mbele ya Kikete, " Nina imani na Lowasa, aa aa,aa! Lowasa kweli kweli......! Kwa sababu hao unawaita kuwa hawana akili, CCM ipo kwenye wakati mgumu. Huo ndo ukweli!!!