hiyo sio statement ya Mkullo ila ni ya JEHOVA baada ya anguko la Adam na Hawa pale Eden (Mwanzo sura ya 3). We must acknowledge the primary author bana!!
hiyo sio statement ya Mkullo ila ni ya JEHOVA baada ya anguko la Adam na Hawa pale Eden (Mwanzo sura ya 3). We must acknowledge the primary author bana!!
Kaka hii nchi c ya wakristo kwani hujui?Hata wimbo wataifa pia umeanzia huko!Ucchokijua nikipi.Cndomana Rais anapewa masaa 48! Nikweli mfumo kila mahala.
Mkulo anadanganya watanzania eti bajeti ni kuwainua walalahoi na kuwa imejali watanzania walalahoi, kuna watu wamekubali maneno yake wanasahau kuwa alishasema kila mtanzania atakula kwa jasho lake, na mkulo huyo huyo tunajua hana lolote kama alishindwa kuongoza NPF wakati ule kwa ufisadi mpaka akaachishwa kwa manufaa ya umma eti leo hii kwa sababu upara wake umeng'aa zaidi kwa kula hovyo hovyo pesa zetu za kodi atafanya kitu cha maana ili umma wa watanzania uendelee!!
kweli watanzania wanapenda kuuambiwa maneno matamu na akili zao kurudi '0'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.