Tusibweteke: Mkulo huyu huyu aliwahi sema haya

Mnwele

Senior Member
Feb 4, 2010
162
100
189765_139447622790095_100001745755347_260991_1759858_s.jpg


Dont be moderate, invite your critic and speak up the course;
History moulds our life.
 
hiyo sio statement ya Mkullo ila ni ya JEHOVA baada ya anguko la Adam na Hawa pale Eden (Mwanzo sura ya 3). We must acknowledge the primary author bana!!
 
hiyo sio statement ya Mkullo ila ni ya JEHOVA baada ya anguko la Adam na Hawa pale Eden (Mwanzo sura ya 3). We must acknowledge the primary author bana!!

kwahiyo Mkulo ni Askofu au mchungaji hadi atukumbushe au kuhubiri maandiko ya biblia? Acha ujinga, use your brain and not your back!
 
Kaka hii nchi c ya wakristo kwani hujui?Hata wimbo wataifa pia umeanzia huko!Ucchokijua nikipi.Cndomana Rais anapewa masaa 48! Nikweli mfumo kila mahala.
 
Ndio maana budget hii 8trilion ni matumizi ya kawaida ya serikali, wakati 4 bil ndio fungu la maendeleo... Kweli tutakula jasho letu!
 
Mkulo anadanganya watanzania eti bajeti ni kuwainua walalahoi na kuwa imejali watanzania walalahoi, kuna watu wamekubali maneno yake wanasahau kuwa alishasema kila mtanzania atakula kwa jasho lake, na mkulo huyo huyo tunajua hana lolote kama alishindwa kuongoza NPF wakati ule kwa ufisadi mpaka akaachishwa kwa manufaa ya umma eti leo hii kwa sababu upara wake umeng'aa zaidi kwa kula hovyo hovyo pesa zetu za kodi atafanya kitu cha maana ili umma wa watanzania uendelee!!
kweli watanzania wanapenda kuuambiwa maneno matamu na akili zao kurudi '0'
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom