Tusibaniane riziki jamani

LUSELL

New Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Hivi inakuaje pale mtu anamuaribia mwenzie kazi tena mtu ambae ana familia yake ambayo inaangaria kilekile kidogo mtu huyo anachokipata!Sasa kuna jamaa yeye zake ni kuaribu tu riziki za wenzake akati yeye ni mgeni katika kazi hizo na hajui hata anao waharibia wametoka wapi na hiyo kampuni!ni dhambi kubwa kumuaribia mtu mwengine riziki tena pasipo sababu ya msingi!!!
 

Duh!ndugu hapa ulipotolea malalamiko yako sipo kabisa ila ujumbe umefika!
 
hebu funguka vizuri!
 
unataka tuhangaike kutafuta picha ya maelezo yako akilini mwetu?
 
unataka tuhangaike kutafuta picha ya maelezo yako akilini mwetu?
 
Alichokisema LUSELL kimetokea sehemu moja hivi, yaani hadi huruma.
 
Mleta Uzi japokua hapa sio sehemu yake lakini funguka basi yaliyokusibu??
 
Umesahau picha mkuu za ubanaji wa riziki za watu!
 
Kubaniwa riziki au utendaji mbovu....? Hata tapeli ana familia inayomtegemea......sasa tuendelee kulea matapeli?
 
hii naona ni picha ya kufikirika.
nashauri mods wachukue huu ubunifu watufungulie jukwaa la picha za kufikirika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…