Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu habari za mda.naonamba anayefaham app inayorecord sauti ya kitu halafu inakuletea full information ya hicho ulichokirecord.mf.kama huufaham wimbo flan unaweza rocord,ndani ya mda mfupi inakujuza wimbo wa nani na video yake kama unataka
Shazam
 
Musixmatch

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mi app yangu matata ni Vault.... If you know you know
Stocks vault ni nzuri sana sijapata kuona , yaani inanipa raha mnoo
Screenshot_2021-04-04-06-10-00-51.jpg
 
Wakuu habari za mda.naonamba anayefaham app inayorecord sauti ya kitu halafu inakuletea full information ya hicho ulichokirecord.mf.kama huufaham wimbo flan unaweza rocord,ndani ya mda mfupi inakujuza wimbo wa nani na video yake kama unataka
Shazam, Soundhoud na kuna nyingine nimeisahau jina tu..
 
Baadhi ya app zangu nlizotengeneza. Zinapatikana play storeView attachment 1716345
Hongera sana mkuu Robert Londo! Nakufahamu na nina bahati ya kukutana nawewe maeneo ya kazi flani Mbeya ila ww huwezi kunifahamu wala kunikumbuka hata kidogo japokua tulikua maeneo ya kazi kwa almost 2 weeks!

Nilikujua kupitia app yako ya Vocha Master, Kuna mtu ulikua unamwelekeza namna ya ku top-up na hiyo app na ulikua karibu angu kuna maneno uliongea pale automatically nikatambua kua ni wewe ndo developer na jina nikaamua kuthibitisha computer uliyokua unatumia pale job kweli ulikua niww...!
 
Wakuu habari za hapa jukwaani.
Naomba msaada wa ku- download apps za kulipia bure.
Sijawahi kufanikiwa kupata hii kitu ingawa nimesikia story nyingi tuu za uwezekano wa kula bila kukaribishwa
Tumia hii ipo google --AC MARKET & HAPPYMOD
 
Google translate, hiyo ina tafsiri ya lugha nyingi sana hata kisukuma, kichaga N. K. Ila unahitaji ku-download package za lugha unazo tafsiri. Package ziko ndani ya hiyo app. Lakini pia unaweza kuandika au ku-copy maneno kutoka chanzo chochote na uka-paste kwenye site ya Google ukapata tafsiri yake vizuri kabisa.
Google translate

Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana mkuu Robert Londo! Nakufahamu na nina bahati ya kukutana nawewe maeneo ya kazi flani Mbeya ila ww huwezi kunifahamu wala kunikumbuka hata kidogo japokua tulikua maeneo ya kazi kwa almost 2 weeks!

Nilikujua kupitia app yako ya Vocha Master, Kuna mtu ulikua unamwelekeza namna ya ku top-up na hiyo app na ulikua karibu angu kuna maneno uliongea pale automatically nikatambua kua ni wewe ndo developer na jina nikaamua kudhibitisha computer uliyokua unatumia pale job kweli ulikua niww...!
Sure ni mimi
 
Karibuni tucheze Call of Duty mobile, mchezo utaanza saa 11 kamili jioni hii kwa masaa ya kibongo so kama utakuwa tayari click link hapo uweze kufanya Registration ya kujiunga hapo wadau. Angalau dk 20 kabla ya mchezo kuanza uingie kwenye link u'confirm uwepo wako, Karibuni Tuburudike Call of Duty Battle Royale ndo habari ya Mjini

View attachment 1748403
Screenshot_20210410-164021.jpg
View attachment 1748404
 
Back
Top Bottom