Nunua simu mzee. Tecno sio simuNaomba app ya camera itakayonipa picha nzuri sana itakayoweza kufanya kazi kwenye simu zetu za tecno.
Mm natumia tecno POP 5 pro ya 4G ila hainipi picha mzuri.
Yah najua n calculatorNunua simu mzee. Tecno sio simu
We mwenyewe wakati unaelezea umeipaka paka sana rangi,unajua wazi hiyo sio simuYah najua n calculator
Wifi map mkuu....!! Play store ipoWadau kwemaa,
Naomba kujuzwa app ipi ambayo itanifanya kupata password za public wifi
InstabridgeWifi map mkuu....!! Play store ipo
Hii inafanya kazi gani?Instabridge
Kupata password za public WiFiHii inafanya kazi gani?
Mkuu hii app inafanyaje kazi naona kama inataka iwe default app ndio itumike.Kupata password za public WiFi
Nliwah itumia kidogo, but kwa location nlipo nkaona haifanyi kaz, bas nkaachana nayoMkuu hii app inafanyaje kazi naona kama inataka iwe default app ndio itumike.
Dstv appMsaada wa app nzuri ya kuangalia mpira online kwa mb chache