Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
wss2.2Mwenye kujua app nyingine inayokaribia kufanana na mobdro naomba ashee maana mobdro kwangu haifunguki
wss2.2Mwenye kujua app nyingine inayokaribia kufanana na mobdro naomba ashee maana mobdro kwangu haifunguki
Thanks mkuu nilkuwa naitafuta mbaya[emoji16][emoji16][emoji16]Nimeipenda hii Pro version ya MusixMatch
Unasave offline,no ads...
musixmatch-lyrics-amp-music-android
Burma TVMwenye kujua app nyingine inayokaribia kufanana na mobdro naomba ashee maana mobdro kwangu haifunguki
Video showwadau mnisaidie app ya kuedit video kwa kueka text katk video
Tvtap pro,seach google-tvtap.toBurma TV
Option ya kwanzamimi ninaomba anayefahamu app nzuri ya kublock ads ambayo ni free
Nunua app support developers wanatumia muda mwingi kutengeneza hizo apps.mimi ninaomba anayefahamu app nzuri ya kublock ads ambayo ni free
Naomba maelekezo jinsi ya kununua play store kwa tigo pesaNunua app support developers wanatumia muda mwingi kutengeneza hizo apps.
Sasa hivi unaweza kununua apps kwa tigo pesa na mpesa play store
Ingia playstore chagua app inayouzwa, click kwenye bei kisha payment methods utaiona tigo pesa kama unatunia line ya tigo au mpesa kama unatumia mpesa ichague kisha endeleaNaomba maelekezo jinsi ya kununua play store kwa tigo pesa
Jaribu kununua app yangu inaitwa All PDF Reader Pro https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.co.wadau.allpdfproIngia playstore chagua app inayouzwa, click kwenye bei kisha payment methods utaiona tigo pesa kama unatunia line ya tigo au mpesa kama unatumia mpesa ichague kisha endelea
View attachment 934646View attachment 934647View attachment 934649
Mkuu tuwekee link ya videorder nikicheki playstore vinakuja vitu vingiKudownload video za youtube mi naona bado videoder inafanya vizuri na ktk ubora
Msaada kuroot Samsung S6
Burma TV