Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Solid Explorer 2 https://play.google.com/store/apps/details?id=pl.solidexplorer2
Screenshot_20181125-092314.jpeg
 
MY BASIC APPS.
D0CUMENTS;
1-ALLPDF - hii inakupa uwezo wa ku convert PDF kuwa ktk format mbalimbali ikiwa Offline. Vilebile utaweza kuvonvert mmafile mengine into PDF.. sizani kama ipo playstore.

2-Polaris Office - hii haina tofauti sana na wps au other office ila kwa upande wangu naitumia sana hasa uwezo wakuhifadhi data online kila unapoifungulia ktk apps hii.

MEDIA;
MX Player - hasa kwa ajili ya video na online video player japo inaplay hadi audio.
JetAudio - naikubali sana hii player inanirahisishia mengi na ina nipa vingi.

Muvis - hii naitumia ktk kuleta mvuto wa simu hasa ninapokuwa naplay audio yeyote ile au video maadam ina sauti tuu. Ina music visualize za aina mbalimbali na ni simple ku create ya kwako.

LAUNCHER;
AP15 - ndio kila kitu kwangu maana mi sio mtu wa mapichapicha.. hii inabadilisha icon za Apps kuwa ktk maandishi ya font, size, style na rangi tofautitofauti kwa namna ikupendezavyo. Ni nzuri kwa usalama wa simu hasa mbele ya watoto na wasiojua kutumia maana haitawavutia na hawatajua cha kufanya, japo kuwa na security ni muhim sana.

MICROSOFT - hii kwa wenye simu zenye uwezo mzuri hasa wa processor na ram. Ni launcher nzuri sana kutoka microsoft
ina shortcut nyingi mhim ambazo si lazima uhangaike kuiyafuta Apps husika ufanye yako, mfn recent activities zako ila unaweza kuset zisionekane ukitaka.

COMPUTER - Hii inapendeza zaidi kwa wale watumia TAB au PAD, inakupa muonekano wa windows computer na ina mbuto sa mbele za watu unaoneka ni wakipekee kumbe ni hizi hizi teCno TAB.

GALLERY;
HTC Gallery kwangu ndio hasa huitumia nimeipenda tuu. Ipo playstore.

BROWSER;
Edge, Chrome na UCbrowser

SOCIAL;
Jamiiforums, FMWhatsapp, OG Insta na Twiiter Lite.

FILE MANAGING
File Commander & ESFile

SPECIAL APPS
Automatag - kusearch na kurekebisha Tag za music.

Dual Browser hii nzuri kwa device zenye screen kubwa maana inaigawa screen mara mbili na kote unaweza kubrowse vitu tofauti.

Hackers Keyboard - hii inakupa view halisi ya computer keyboard na unaweza ukaweka layout uipendayo nzuri kwwa screen kubwa ukiitaka view ya pc keyboard

Tubi tv kwakuchekia movie na Spotify kwa kusikilizia mziki mzuri wa duniani.

AC Market - napata Apps za mteremko na mengine mengi kama vile vitabu nk

Octima - kwa wale wavuta hisia stim zipande wakacheze mechi zao.. mmerahisishiwa sana, hope mnanisoma, ukiikosa hii Apps usilazimishe sana maana sio nzuri kwa afya yako.

NAWATAKIA MFUNGO MWEMA.
BILA KUSAHAU KUMILIKI APPS YA ''WORD PROJECT''

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ap15 nimeielewa
 
Back
Top Bottom