Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ndo hii mkuu mwisho wa maelezo maana review zake tu mbovu wadau wanalalamika hata rate yake 3.8 hata nne hajjafika
View attachment 593894
Haipo play store, kama una App inaitwa Aptoide utaipata humo.
Iwe na Icon kama hii...
406022ee9945e928be4cfaa53d73f122.jpg
 
Sasa mkuu wee unashauri ipi labda iko okay kwa upande wako kiongoz

Kwa upande pakua zote mbili alafu test kila moja angalia ipi inaridhisha kwako kamatia hyo ila on me nimejarbu ya mkuu ni nzuri ila du record iko mbele nili record vodeo za dk 3 zenye quality saw lakini hii scr nikakuta ina mb nyingi zaidi
 
Wadau naweza kurudisha simu nilio root ikarudi kama zamani na nikapata update?
Natumia HUAWEI P8 MAX
 
Wakuu habar za muda huuu
Mm nimeibiwa sim SAMSUNG J7(2016)
Ime nazijuwa kuna uwezekano wa kuipata
Kama upo nitumie njia gani ?
 
pitia hapa mimi binafsi imenisaidia
Junior Hamis, post: 19648984, member: 167548"]ngoja ninaribu kuelekeza japo kwa kifup.... hapa ki2 cha kwanza inabidi kutumia simu ya mhusika yaani (victim phone) ukishakuwa nayo ingia kwenye browser serch www.mobile-tracker-free.com
464a2e07aa82569419d55c13277e6b6f.jpg
baada ya hapo install hyo app... ingia setting, security then select unknown source ili kuruhusu installation of apk..... then
a441c9be02e6f2fd12bea99741f29292.jpg
... ukishamlza ku download
28e7f3a3ffce38908527509cf6e97fdb.jpg
aaf6a45445350d13d0ed8aced58635e4.jpg
9c5e20a2924439c2f4db6bdc04b67824.jpg
then create account by using email
eeac50a7478585cc7858b283b81a021d.jpg
baada ya ku create account italeta hapa
4124b5a6651a2efa2a2e427b365ae8b0.jpg
select unavyohtaji kama ni sms, photos, recorded call audio, location nakadhalika kwa wale ambao wana rooted devices unaweza select social networks pia kama Facebook na whatsapp and others
645f395c6b299464d5e4dd25dc241456.jpg
then log in
8c603094a36919fd532bda30c00ce1f4.jpg
weka tick kwenye to accept agreement the log in italeta hivi
91ef01377855d58cd78c4d94ca672f84.jpg
select then
873ead99137add397c7b2f96bac76514.jpg
select social networks for rooted phone the
389c6d09e5f91b5c5f1d71a5dbbaf67a.jpg
after pls wait itakubali hiv
d29beb13a481eeaf0aa92ea07bdc770e.jpg
theb baada ya hapo umemalza utakuwa una log in kwenye website www.mobile-tracker-free.com kwa kutumia device yoyote utakuta kila ki2 kama hivi
24104f421ac80835a405155b9a547ed9.jpg
then
5d0fba9448ecd203149cef1199fe8f8f.jpg
kama ni audio za call
4c5671386c179ea50eff237d78268c81.jpg
na vingine..... nawasilisha[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] nb:do this at your own risk.... sihusiki na ndoa ya mtu...
Mkuu nichek pm
 
Nenda play store down load psp emulator

Zen download game za psp zilizo ktk mtindo wa zip

Zen una unzip unakula game kiulaini za psp
katika kupitia huu uzi hii kitu nimeipenda sana mkuu nimedownload psp emulator ya kwanza kabisa play store sema issue ni wapi nitapata hizo game na jinsi gani nitaziunzip na connection yao ipoje na psp emulator tiririka kidogo mkuu unipe maunjuzi
 
Wakuu habari. Naomba msaada wa jinsi ya kuinstall MOBDRO kwenye lap top kila nikijaribu inanidai kuactivate card. Natanguliza shukurani.

Vilevile naomba ujanja wa kuwzesha lap top kutumia App za Android yaan Apk app ili niweze kutumia google
play store kwenye lap top.
 
Wakuu habari. Naomba msaada wa jinsi ya kuinstall MOBDRO kwenye lap top kila nikijaribu inanidai kuactivate card. Natanguliza shukurani.

Vilevile naomba ujanja wa kuwzesha lap top kutumia App za Android yaan Apk app ili niweze kutumia google
play store kwenye lap top.
ili kutumia app za playstore kwenye pc unatakiwa udownload simlator kama bluestack etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom