Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Application ya FILDO ni nzuri xana hasa kwa wapenz wa mziki kwa sababu inakuwezesha kudownload nyimbo za mbele pamoja na album yenye full track kwa wakat mmoja mm ndo huwa naitumia ila km unaifahamu nyingine ambayo unaweza kudownload album tujuzane maana mm huwa napenda kudownload album za mziki za wasanii wakubwa km d khaleed,21 pilot na wengineo kwahyo nahitaji kujua apk nyingine zinazowork km hii fildo
 
Jamani naomba msaada wa ku-install ubuntu kwenye laptop yangu....
Kwa sasa natumia windows 8.1 pro.
Karibuni wote wataalam
miss chagga
CHIEF MKWAWA
kcamp
erick jr
Hans Pol
Na wale wote ambao sijawataja but ni wataalam wa haya makitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sorry kwa ukimya, binafsi sijatumia hiyo OS, kwa msaada zaidi jaribu ku mcheki Chief-Mkwawa.
Huyo ni msaada mkubwa sana kwenye hili jukwaa.

Pia waweza google na kuangalia clips youtube.
 
Application ya FILDO ni nzuri xana hasa kwa wapenz wa mziki kwa sababu inakuwezesha kudownload nyimbo za mbele pamoja na album yenye full track kwa wakat mmoja mm ndo huwa naitumia ila km unaifahamu nyingine ambayo unaweza kudownload album tujuzane maana mm huwa napenda kudownload album za mziki za wasanii wakubwa km d khaleed,21 pilot na wengineo kwahyo nahitaji kujua apk nyingine zinazowork km hii fildo
Tinny tunes
Music paradise pro..
 
Back
Top Bottom