Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Huu ni wizi. Sio jambo jema wenzio wametoa jasho ku develop app halafu wanaweka sehemu wanauza, ww unataka utumie bure. Lau mtandaoni ingekuwa ni kariakoo wewe na wenzako mnaoiba mgeshachomwa moto. Tujifunze kuwa waadilifu sio tunafurahia watu wanavotobolewa majipu wakati sisi wenyewe sio waadilifu. Tujitathmini.
Wewe ni kilaza kweli kwa yeye alieyetengeneza hiyo blarkmark si ili itumike kipi kigeni sasa hapo.

Dunia iko kas kwanini hutumii baiskeli kusafiti mikoani unatumia bus, technologia iko mbele yazamani yabaki kuwa historia.
 
Wewe ingia play store andika psp emulator yoyote itakayokuja download then download unzip application ukisha vipata bitu hivi. Ingia ktk browser yako yoyote ingia google andika freeroms. Fungua iyo site zen pembeni kwenye rangi ya blue kuna kila aina ya consoler game chagua portable plastation game zen ingia kwenye izo Alphabet chagua game unalotaka download zen unzip. Enjoy

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye unzip application cjaelewa maana nimefungua ggleplay zimekuja unzip nying tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nimeiroot na nimeondoa baadhi ya pre install app lakini bado sina ROM ya kutosha
Android yangu ni jellbeans
si kuondoa pre installed apps kwa kuwa hata ulizoinstall ww kwan si pre-install pia? bali blotwares yaani apps zilizokuja na simu ambazo hazina faida yyte zaidi ya kujaza space ya simu tu kwa mfano unakuta kuna facebook ina kama 150mb imekuja na simu unaweza ifuta hiyo kisha ukainstall facebook lite ambayo ina 5mb uka save space .
 
si kuondoa pre installed apps kwa kuwa hata ulizoinstall ww kwan si pre-install pia? bali blotwares yaani apps zilizokuja na simu ambazo hazina faida yyte zaidi ya kujaza space ya simu tu kwa mfano unakuta kuna facebook ina kama 150mb imekuja na simu unaweza ifuta hiyo kisha ukainstall facebook lite ambayo ina 5mb uka save space .
kwa hyo mkuu jellybeans siwezi tumia ROM kwa memorycard?
 
Lets make your smartphone "smarter"! Check out these [HASHTAG]#Top10[/HASHTAG] Apps this week,

1. Hologram Background 0:09 https://play.google.com/store/apps/de...
2. Snap Swipe 0:44 https://play.google.com/store/apps/de...
3. Cursor Control 1:27 https://play.google.com/store/apps/de...
4. Floating Apps 2:10 https://play.google.com/store/apps/de...
5. Install Button 2:54 https://play.google.com/store/apps/de...

6. Facer Watch 3:32 https://play.google.com/store/apps/de...
Get Huawei Watch Here - Amazon.com: Huawei Watch Stainless Steel with Black Suture Leather Strap (U.S. Warranty): Cell Phones & Accessories
Chrome Metal Band - Amazon.fr : Rerii

7. BixRemap 4:28 https://play.google.com/store/apps/de...
8. Don't Touch 5:12 https://play.google.com/store/apps/de...
9. 60dB 5:50 https://play.google.com/store/apps/de...
10. Computer Pro 6:45 https://play.google.com/store/apps/de...

11. Fidget Spinner 7:53 https://play.google.com/store/apps/de...
 
Msiwe wavivu kupatia nyuzi, ilishatolewa huko comment za nyuma
Sawa mimi ni mvivu
Ila wewe usiye mvivu umeshindwa kuweka link
Post zipo nyingi siyo rahisi kupitiapitia pia kuna link orijino na magumashi
 
Sawa mimi ni mvivu
Ila wewe usiye mvivu umeshindwa kuweka link
Post zipo nyingi siyo rahisi kupitiapitia pia kuna link orijino na magumashi
Chaliii,wewe Ndio mwenye shida. Kunipigia mie ngonjera na mashairi,na uvivu wako havitakusaidia kitu.
 
Back
Top Bottom