Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

f709edb0bc90b3b8e216db7442128ecd.jpg
iyo nzuri mkuu ni online translate haikosei
Inaitwaje sasa IPO wap
 
Wakuu msaada wenu wa haraka tafadhalini. Play store yangu imegoma kufunguka yani ukiifungua inastuck au ikifunguka inaniandikia check your connections and try again,na huku browse nyingine natumia bila shida sambamba na kuperuzi mitandao kama kawaida. Na hili tatizo limeanza baada ya ku-unlock pattern baada ya simu yako mtu flani kuchange pattern yangu. MSAADA WENU TAFADHALINI
 
Setting tu huko. Ikishindikana I restore
 
Back
Top Bottom