M masafi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 710 Reaction score 691 Nov 27, 2016 #101 youngkato said: Sio kweli, Kuhusu notifikation kuna sehemu kwenye settings, Unaweka tiki kwenye online when screen is off Click to expand... Usimdanganye mwenzio. maana yake muda wote unaonekana upo online hata kama hujafungua whatsapp
youngkato said: Sio kweli, Kuhusu notifikation kuna sehemu kwenye settings, Unaweka tiki kwenye online when screen is off Click to expand... Usimdanganye mwenzio. maana yake muda wote unaonekana upo online hata kama hujafungua whatsapp
Naipuli JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 266 Reaction score 110 Nov 27, 2016 #102 Mimi natumia hii, ni mzuri sana kwa upande wangu, ina features karibu zote za GbWhatsApp. Whatsapp+ Jim's Techs - Techs ForEver
Mimi natumia hii, ni mzuri sana kwa upande wangu, ina features karibu zote za GbWhatsApp. Whatsapp+ Jim's Techs - Techs ForEver
Legeza mwendo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2016 Posts 519 Reaction score 655 Nov 28, 2016 #103 Naipuli said: Mimi natumia hii, ni mzuri sana kwa upande wangu, ina features karibu zote za GbWhatsApp. Whatsapp+ Jim's Techs - Techs ForEver Click to expand... Mi hii huwa inakataa ku install saiz nakula utamu tu wa gbwhatsaap
Naipuli said: Mimi natumia hii, ni mzuri sana kwa upande wangu, ina features karibu zote za GbWhatsApp. Whatsapp+ Jim's Techs - Techs ForEver Click to expand... Mi hii huwa inakataa ku install saiz nakula utamu tu wa gbwhatsaap
Legeza mwendo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2016 Posts 519 Reaction score 655 Nov 28, 2016 #104 masafi said: Usimdanganye mwenzio. maana yake muda wote unaonekana upo online hata kama hujafungua whatsapp Click to expand... Hujamuelewa huyo jamaa, anamaanisha kinachofanya msg zichelewe kuingia ni hyo hapo, ukiweka tiki hapo kwenye always online ndio inafanya msg zichelewe, aza waizi kila kitu kipo mwelele
masafi said: Usimdanganye mwenzio. maana yake muda wote unaonekana upo online hata kama hujafungua whatsapp Click to expand... Hujamuelewa huyo jamaa, anamaanisha kinachofanya msg zichelewe kuingia ni hyo hapo, ukiweka tiki hapo kwenye always online ndio inafanya msg zichelewe, aza waizi kila kitu kipo mwelele
ladypeace JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 935 Reaction score 507 Oct 3, 2017 #105 Yumbayumba said: Nzuri sn tena sn ukiitumia hutoacha kutumia Click to expand... Mkuu naomba nisidie mi gbwatsap inagoma kwangu sammoo said: nimeinstall ila sioni cha maana iko kama wasap ya kawaida tu sasa sijui nakosea wapi mkuu Yumbayumba Click to expand...
Yumbayumba said: Nzuri sn tena sn ukiitumia hutoacha kutumia Click to expand... Mkuu naomba nisidie mi gbwatsap inagoma kwangu sammoo said: nimeinstall ila sioni cha maana iko kama wasap ya kawaida tu sasa sijui nakosea wapi mkuu Yumbayumba Click to expand...
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,287 Reaction score 6,186 Oct 14, 2017 #106 unaweza futa sms ata kama ilikuwa ushaenda na ilipofika nako ikafutika