Tushauriane kwenye hili

Tushauriane kwenye hili

Yaleyale kila siku tunaongea humu 'unakumbushia ombi' kwani hiyo ni kazi umeomba? Sasa mnaongea nini masaa matatu?

Bottomline, hujui tu jinsi ya kubadili mazungumzo taratibu hadi kuelekea unapopataka, unakumbusha ombi kama manispaa wanapokumbusha malipo ya leseni?


Ww jamaa uko deep@fact
 
Eti kwa mfano kuna mrembo unamtongoza, afu yeye hataki lakini kila siku usiku lazima akupigie simu na mtaongea kama masaa matatu hivi, ila ukimkumbushia ombi lako anakataa.

Mtu kama huyu anakua anataka nini wakuu? Maana nafikiria kumpotezea ila sijui naanzaje.

Anataka mawasiliano tu. Endeleeni kuongea hata kwa masaa 12.
 
Back
Top Bottom