Tushauriane kwenye hili

Tushauriane kwenye hili

Yaleyale kila siku tunaongea humu 'unakumbushia ombi' kwani hiyo ni kazi umeomba? Sasa mnaongea nini masaa matatu?

Bottomline, hujui tu jinsi ya kubadili mazungumzo taratibu hadi kuelekea unapopataka, unakumbusha ombi kama manispaa wanapokumbusha malipo ya leseni?

mangi umeua band, mtu analetwa na vijineno vya indirect mapenzi hayaendi na makavu live kheeeej
 
Been in this game for a while, that don't make me a pro tho/
There's rule to !sh, I'll share with you a manual/
Step by step booklet, to get you set/
Your game on track, and never your vibes pushed back/

Rule numero uno, never let no one know/
How much love for them you hold, cuz you know../

Woulda Poppa'd all the commandments, but it's too deep to follow.
 
Once more! Puppies wanna know dis commandments.... Hahaaa
 
nilichojifunza wanawake wengi ukitongoza alafu usubirie jibu la NDIO NIMEKUBALI OMBI LAKO SO KUANZIA SASA NITAKUWA MPENZI WAKO ....hyo sentensi huwez kuja kuiskia kwa wanawke wengi utasubiri saaaanaaaa hadi jesus anarud kwa mara ya pili... mtoa mada umri wako nahisi bado ni chini ya 27....
 
Muite kwako. Piga nae hadithi zs hapa na pale. Kisha mdandie. Ndiyo anavyotaka huyo. Anaonekana wanaume wapole hawamuwezi.
 
Hivi huwajui wanawake!?Ukisubiri akwambie nimekubali utasubiri sana.Hata hapo anapokupigia na kukuuliza unaongea na nani keshakubali we ni kuanza tu kuonyesha upendo wako.Asa kama hakutaki simu za nini anakupigia au kuuliza unaongea na nani wakati hana uhusiano na wewe.Hata mimi sijawahi kusema ndio na sitokaa niseme ndio.Hujui kusoma hata picha huoni
 
Kuna kitu anachotaka kukisikia hujakisema,kwa sababu mwanamke huwa anapenda kusikia anachotaka kusikia haijalishi kimetoka kwa nani
 
hana lolote huyo, wenzio watakuwa wanapiga, ww kwako anaondolea frustration tu, au kwa lugha nyepesi ni kwamba unashika pembe

akinipigia akikuta cmu yangu iko busy ataanza kuniuliza nilikua naongea na nani.
 
Ombi lako limeshakubaliwa, lengo lake hataki kuonekane Maharage ya Mbeya
 
Eti kwa mfano kuna mrembo unamtongoza, afu yeye hataki lakini kila siku usiku lazima akupigie simu na mtaongea kama masaa matatu hivi, ila ukimkumbushia ombi lako anakataa.

Mtu kama huyu anakua anataka nini wakuu? Maana nafikiria kumpotezea ila sijui naanzaje.

nikijaribu kumkumbushia ananiambia hilo swala halitokaa litokee milele.

Aiseeeee yawezekana na nyumbani kuna mtu anakuita KAKA
 
Yaleyale kila siku tunaongea humu 'unakumbushia ombi' kwani hiyo ni kazi umeomba? Sasa mnaongea nini masaa matatu?

Bottomline, hujui tu jinsi ya kubadili mazungumzo taratibu hadi kuelekea unapopataka, unakumbusha ombi kama manispaa wanapokumbusha malipo ya leseni?

Aaahaa!!! Aaahhh!!! The Boss!!
 
Eti kwa mfano kuna mrembo unamtongoza, afu yeye hataki lakini kila siku usiku lazima akupigie simu na mtaongea kama masaa matatu hivi, ila ukimkumbushia ombi lako anakataa.

Mtu kama huyu anakua anataka nini wakuu? Maana nafikiria kumpotezea ila sijui naanzaje.

Akikunyima kiungo chake (ambacho ww huna)
Na ww mnyime kiungo chako (ambacho yy hana)
Halafu endelea na mambo yako
 
Hivi huwajui wanawake!?Ukisubiri akwambie nimekubali utasubiri sana.Hata hapo anapokupigia na kukuuliza unaongea na nani keshakubali we ni kuanza tu kuonyesha upendo wako.Asa kama hakutaki simu za nini anakupigia au kuuliza unaongea na nani wakati hana uhusiano na wewe.Hata mimi sijawahi kusema ndio na sitokaa niseme ndio.Hujui kusoma hata picha huoni

simamia ukucha nyoosha goti wewe.
unasubiri uitwe kwenye usaili! hiyo ni ile type ya kushika mkono unamwambia twende ivi.
 
Been in this game for a while, that don't make me a pro tho/
There's rule to !sh, I'll share with you a manual/
Step by step booklet, to get you set/
Your game on track, and never your vibes pushed back/

Rule numero uno, never let no one know/
How much love for them you hold, cuz you know../

Woulda Poppa'd all the commandments, but it's too deep to follow.
Rule numero uno..... hahahaaa it takes high intelligence to understand you..
 
Back
Top Bottom