<br />Hii namba ni kwa watu gani,,namaanisha maeneo gani,au hata kama nipo huku NANGURUKURU ?????
<br />
king'ast Mungu akuzidishie moyo wa ushirikiano. Akuepushie daima uchoyo.
<br />Hii namba ni kwa watu gani,,namaanisha maeneo gani,au hata kama nipo huku NANGURUKURU ?????
Kwa sababu najua hata ukipiga hawa-act hata siku moja. Muda wote wako bize zaidi na kazi zinazoweza kuwaingizia rushwa. Hivyo ukipiga utaishia kujiona umefanya umbeya tu, maana hakutakuwa na msaada wowote.kwa nini unasema hivyo?.....ina maana wewe haikuhusu?...
Kwa sababu najua hata ukipiga hawa-act hata siku moja. Muda wote wako bize zaidi na kazi zinazoweza kuwaingizia rushwa. Hivyo ukipiga utaishia kujiona umefanya umbeya tu, maana hakutakuwa na msaada wowote.