Tushare hizi namba kwa usalama wetu

yaani watu milioni takriban tatu wenye simu huko Tanzania wakitaka kupiga Dharula wanatumia namba hizo mbili tu.

Si zitakuwa busy kila wakati? au wapokeaji watachoka. Kwanini wasiwe na namba nyingi kama 20 hivi?

Poleni
 
kwa nini unasema hivyo?.....ina maana wewe haikuhusu?...
Kwa sababu najua hata ukipiga hawa-act hata siku moja. Muda wote wako bize zaidi na kazi zinazoweza kuwaingizia rushwa. Hivyo ukipiga utaishia kujiona umefanya umbeya tu, maana hakutakuwa na msaada wowote.
 
mmmh....sijui kwa kweli....kitu nimefanya mimi.....nimechukua namba....najua haitapita muda lazima nitakutana na dereva mapepe....nitapiga hizo namba....kama ni uzushi nitaleta habari hapahapa....nikiwa na ushahidi kamili....kwa sasa siwezi kutoa maoni nisiyokuwa na uhakika nayo....
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom